Waanza kutumia MaxMalipo kulipia ankara za maji
WAKAZI wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wameanza kutumia mashine za Maxmalipo kulipa bili zao za maji. Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Athanas Leonce alisema mashine hizo zinaendelea kusambazwa kwa mawakala wao katika maeneo mbalimbali mjini Iringa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9PVIraoTFzc/VOGWKgDDE1I/AAAAAAAHD6s/6GF1DKr4ozM/s72-c/IMG_6662.jpg)
NMB waanza kutoa huduma kupitia MaxMalipo kwa Mafanikio
BENKI ya NMB imeanza kutoa huduma zake kupitia mawakala wa MaxMalipo kwa mafanikio katika hatua ya majaribio inayoendelea Kigamboni – Dar es Salaam, Dodoma na Arusha.
Huduma hiyo inayojulikana kama NMB Wakala itakuwa inapatikana kwenye maduka ya kawaida yenye huduma za MaxMalipo, inategemewa kusogeza huduma za benki hiyo mpaka vijijini na kuwa benki ya kwanza kuweza kupenya maeneo ya vijijini.
Kwa ajili ya kuhakikisha huduma hii inawafikia wengi, NMB inafanya matangazo katika eneo la kigamboni...
Huduma hiyo inayojulikana kama NMB Wakala itakuwa inapatikana kwenye maduka ya kawaida yenye huduma za MaxMalipo, inategemewa kusogeza huduma za benki hiyo mpaka vijijini na kuwa benki ya kwanza kuweza kupenya maeneo ya vijijini.
Kwa ajili ya kuhakikisha huduma hii inawafikia wengi, NMB inafanya matangazo katika eneo la kigamboni...
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-ITvq3K7dJw4/VVB0RVH8LjI/AAAAAAAC4QQ/0n-_pi6nawA/s640/New%2BPicture.png)
UZINDUZI WA HUDUMA YA MAXMALIPO KWA KUTUMIA SIMU YA KIGANJANI
Mkuu wa kitengo cha Biashara Maxcom Africa, Bw. Deogratius Lazari (katikati) akifafanuajJambo kwa waandishi wa habari (hawapo picha) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kutoa huduma za Maxmalipo kwa kutumia simu ya kiganjani, wengine katika picha ni maoifisa wa Kampuni hiyo, kulia ni msimamizi wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Mashariki Bw. Thomas Mwakalembile na Geofrey Mwakamyanda.  Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ITvq3K7dJw4/VVB0RVH8LjI/AAAAAAAC4QQ/0n-_pi6nawA/s72-c/New%2BPicture.png)
Uzinduzi wa Huduma Mpya ya MaxMalipo kwa kutumia Simu ya Kiganjani.
![](http://3.bp.blogspot.com/-ITvq3K7dJw4/VVB0RVH8LjI/AAAAAAAC4QQ/0n-_pi6nawA/s640/New%2BPicture.png)
Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2010 ambayo imewekeza...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rLXTcM7Z7Sk/XmEZN5K7CBI/AAAAAAALhXk/Oh_YK8-Xpvo4I8gUpqmMTiOXeJUH7vMrwCLcBGAsYHQ/s72-c/d1608a75-4479-4edf-ac3f-6505e39afe13.jpg)
Watanzania kulipia gharama za pasi za kusafiria kwa kutumia Airtel Money
![](https://1.bp.blogspot.com/-rLXTcM7Z7Sk/XmEZN5K7CBI/AAAAAAALhXk/Oh_YK8-Xpvo4I8gUpqmMTiOXeJUH7vMrwCLcBGAsYHQ/s640/d1608a75-4479-4edf-ac3f-6505e39afe13.jpg)
Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Idara ya Uhamiaji Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mohammed Bakar (kati kati) na Mdhibiti wa Pasipoti Kamishna Msaidizi Dorah Luoga (kulia) wakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Airtel Money Isaack Nchunda wakionyesha bango baada ya pamoja kusaidia ushirikiano ambapo kwa sasa Watanzania wataweza kulipia pasipoti kwa kutumia Airtel Money.
![](https://1.bp.blogspot.com/-t6DeTUVX5Ss/XmEZWrTg5HI/AAAAAAALhXo/4XBbney01QIiv6GrXF9tIIS_oRuaojHfgCLcBGAsYHQ/s640/231ec532-8228-4122-997b-c2ee77a7eea7.jpg)
Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Idara ya Uhamiaji Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mohammed Bakar akizungumza wakati wa kuzindua ushirikiano baina ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-35HviC9TAqM/Ux7du9KwXjI/AAAAAAAA73k/R27MSxuSLjs/s72-c/14.jpg)
BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'
![](http://3.bp.blogspot.com/-35HviC9TAqM/Ux7du9KwXjI/AAAAAAAA73k/R27MSxuSLjs/s1600/14.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a6F4vLoWInQ/Ux7boYTm4vI/AAAAAAAA72U/GvV1-pPLQGE/s1600/20.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-06IEOzwZCuI/Ux7b0qOq_7I/AAAAAAAA72w/1q6YoyAzOpg/s1600/23.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s1yIy1k5xzo/Ux7bvkQ1dBI/AAAAAAAA72c/jAVaxtt-edc/s1600/21.jpg)
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-a6F4vLoWInQ/Ux7boYTm4vI/AAAAAAAA72U/GvV1-pPLQGE/s1600/20.jpg)
BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu… ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QQsIr_NphUs/VBH9GZYzlOI/AAAAAAAGi_Q/xUgEGyuolyE/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
WANANCHI WAANZA KUTUMIA MV KIGAMBONI LEO
Hatimaye Serikali imetimiza ahadi yake mapema leo mara baada ya Kivuko cha Mv. Kigamboni kuanza rasmi safari zake za usafirishaji.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wakati akizindua kivuko hicho ambacho kilikuwa kikikarabatiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji.
Mhandisi Iyombe amesema Kivuko hicho ambacho kinategemewa na wananchi walio wengi waishio Kigamboni na maeneo jirani kimeanza kutoa ...
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wakati akizindua kivuko hicho ambacho kilikuwa kikikarabatiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji.
Mhandisi Iyombe amesema Kivuko hicho ambacho kinategemewa na wananchi walio wengi waishio Kigamboni na maeneo jirani kimeanza kutoa ...
9 years ago
MichuziULINZI WA TEMBO KWA KUTUMIA SATELAITI WAANZA RUAHA
Shirika la Hifadhi za Taifa limezindua program maalum ambapo tembo 30 wanaoongoza makundi 30 katika mfumo wa Ikolojia wa Ruaha Rungwa watavalishwa kola malum shingoni zenye vifaa vinavyorekodi mienendo yao kwa kutumia satelaiti. Program hii inafadhiliwa kwa pamoja na taasisi za Global Environment Facility pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP).
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa program hiyo hivi karibuni, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alisema kuwa “ Lengo kuu la...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa program hiyo hivi karibuni, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alisema kuwa “ Lengo kuu la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania