Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULINZI WA TEMBO KWA KUTUMIA SATELAITI WAANZA RUAHA

Shirika la Hifadhi za Taifa limezindua program maalum ambapo tembo 30 wanaoongoza makundi 30 katika mfumo wa Ikolojia wa Ruaha Rungwa watavalishwa kola malum shingoni zenye vifaa vinavyorekodi mienendo yao kwa kutumia satelaiti. Program hii inafadhiliwa kwa pamoja na taasisi za Global Environment Facility pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP).
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa program hiyo hivi karibuni, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alisema kuwa “ Lengo kuu la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tembo Ruaha kufuatiliwa na kifaa maalumu

Katika harakati za kupambana na ujangili wa tembo, Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa) kwa kushirikikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limefunga vifaa maalumu kwa ajili ya kufuatilia mienendo ya wanyama hao kwenye mfumo wa ikolojia ya Hifadhi ya Ruaha.

 

9 years ago

Michuzi

TANAPA YAIMARISHA ULINZI WA TEMBO KWA KUWAFUNGA VIFAA MAALUM.

 Wataalam wa Uhifadhi wakiongozwa na Dk. Alfred Kikoti (wa kwanza kulia) wakiendelea na zoezi la uwekaji kola maalum kwa tembo zinazosaidia kudhibiti mienendo ya tembo ndani nan je ya hifadhi ya Mfumo wa Ikolojia wa Ruaha Rungwa. Helikopta maalum inayotumiwa na madaktari kwa ajili ya kutambua na kupiga dawa ya usingizi kwa tembo kabla ya uvalishaji wa kola maalum. Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi (mwenye kofia) akishuhudia zoezi la uvalishaji kola maalum kwa tembo katika Hifadhi ya...

 

9 years ago

StarTV

Tembo 7,500 kati ya 12,000 waliotoweka warejea  katika  hifadhi  ya Ruaha-Rungwa

Tembo 7,500 kati ya 12,000 walioripotiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwenye uwanda wa eneo la uhifadhi Ruaha-Rungwa Nyanda za Juu Kusini wamerejea tena kwenye eneo hilo.

Kurudi kwa wanyama hao waliodaiwa kupotea kwa wingi kutoka eneo hilo, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kumebainika katika matokeo ya sensa mpya ya wanyamapori iliyofanyika Ruaha-Rungwa wiki chache zilizopita.

Matokeo ya sensa mpya ya Septemba-Novemba mwaka huu yametangazwa rasmi jijini hapa na Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'

Kadi mpya ya malipo ya matibabu katika Hospitali ya KCMC inavyoonekana. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC badala ya fedha taslimu.
 Baadhi...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO BAGAMOYO WAANZA KUTUMIA BANDARI NDOGO BAADA YA KUSUSIA KWA MUDA

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO

WAFANYABIASHARA ndogondogo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani,wameanza rasmi kazi kwenye bandari ndogo wilayani hapa, baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu.

Hatua hiyo imetokana na Mkuu wa wilaya hiyo Zainab Kawawa kukaa nao pamoja na Maofisa wanaosimamia Bandari hiyo, kufanikiwa kumaliza tofauti hiyo, hatimae kuanza tena shughuli zao.

Akizunguma katika Bandari ndogo wilayani humo, Kawawa alisema kuwa kunyanyaswa kwa wafanyabiashara hao ni sawa na kumnyanyasa...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA CRDB YAZINDUA MFUMO WA KULIPIA MATIBABU KWA KUTUMIA NJIA YA KIELEKRONIKI 'KCMC TEMBO CARD'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB akizungumza wakati wa uzinduzi wa KCMC Tembo Card itakayotumika kwa ajili ya malipo ya matibabu katika hospitali ya KCMC. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya  Kaskazini, Askofu Dk. Martin Shao akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya KCMC Tembo Card kwa ajili ya malipo ya matibabu… ...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAANZA KUTUMIA MV KIGAMBONI LEO

Hatimaye Serikali imetimiza ahadi yake mapema leo mara baada ya Kivuko cha Mv. Kigamboni kuanza rasmi safari zake za usafirishaji.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wakati akizindua kivuko hicho ambacho kilikuwa kikikarabatiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji.
Mhandisi Iyombe amesema Kivuko hicho ambacho kinategemewa na wananchi walio wengi waishio Kigamboni na maeneo jirani kimeanza kutoa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani