WANANCHI WAANZA KUTUMIA MV KIGAMBONI LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-QQsIr_NphUs/VBH9GZYzlOI/AAAAAAAGi_Q/xUgEGyuolyE/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
Hatimaye Serikali imetimiza ahadi yake mapema leo mara baada ya Kivuko cha Mv. Kigamboni kuanza rasmi safari zake za usafirishaji.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wakati akizindua kivuko hicho ambacho kilikuwa kikikarabatiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji.
Mhandisi Iyombe amesema Kivuko hicho ambacho kinategemewa na wananchi walio wengi waishio Kigamboni na maeneo jirani kimeanza kutoa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U3c5M7JQcLs/VKGNSRBUz8I/AAAAAAAG6ek/_8kdqRyvVgQ/s72-c/unnamed.jpg)
kakakuona aonekana kigamboni leo, wananchi watabiri ni ishara ya mvua nyingi msimu huu
![](http://1.bp.blogspot.com/-U3c5M7JQcLs/VKGNSRBUz8I/AAAAAAAG6ek/_8kdqRyvVgQ/s1600/unnamed.jpg)
Lakini akaishia kunywa maji tu kabla ya kukimbilia vichakani. Wananchi kwa mamia waliofurika kumuona Kakakuona huyo walisikika wakisema kuwa huenda huo ni utabiri kwamba huenda mvua zikawa nyingi msimu huu.
Polisi walifika eneo la tukio na baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Ufisadi waanza mradi wa Kigamboni
MRADI wa mji mpya wa Kigamboni, jijini Dar es salaam, unadaiwa kuwa wa kifisadi baada ya watu wawili kati ya 228 waliofanyiwa tathmini kuandaliwa malipo ya sh bilioni 22 kati...
10 years ago
Habarileo30 Apr
JK avuka Kigamboni kutumia daraja la muda
RAIS Jakaya Kikwete amekuwa Mtanzania wa kwanza kuvuka rasmi Bahari ya Hindi kwa gari kwenda Kigamboni akitokea mjini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Waanza kutumia MaxMalipo kulipia ankara za maji
WAKAZI wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wameanza kutumia mashine za Maxmalipo kulipa bili zao za maji. Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Athanas Leonce alisema mashine hizo zinaendelea kusambazwa kwa mawakala wao katika maeneo mbalimbali mjini Iringa.
9 years ago
MichuziULINZI WA TEMBO KWA KUTUMIA SATELAITI WAANZA RUAHA
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa program hiyo hivi karibuni, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alisema kuwa “ Lengo kuu la...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yjxr2uKvaiY/XtpD_Zgm50I/AAAAAAALstg/XtH2v0u9Msw5erAH8PlbClinEeKyRUWngCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200605-WA0013.jpg)
WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO BAGAMOYO WAANZA KUTUMIA BANDARI NDOGO BAADA YA KUSUSIA KWA MUDA
WAFANYABIASHARA ndogondogo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani,wameanza rasmi kazi kwenye bandari ndogo wilayani hapa, baada ya kusimama kwa takribani miezi mitatu.
Hatua hiyo imetokana na Mkuu wa wilaya hiyo Zainab Kawawa kukaa nao pamoja na Maofisa wanaosimamia Bandari hiyo, kufanikiwa kumaliza tofauti hiyo, hatimae kuanza tena shughuli zao.
Akizunguma katika Bandari ndogo wilayani humo, Kawawa alisema kuwa kunyanyaswa kwa wafanyabiashara hao ni sawa na kumnyanyasa...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi
MJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.
11 years ago
GPLKIGAMBONI MCHAKATO WA MJI MPYA ULIVYOGEUKA MSIBA KWA WANANCHI
11 years ago
Michuzi29 Mar
SIKILIZA WAWAKILISHI WA WANANCHI WAKIONGELEA KUHUSIANA NA SAKATA LA UJENZI WA MJI MPYA KIGAMBONI.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wananchi inayowakilisha malalamiko yao kuhusiana na ujenzi mpya wa mji wa Kigamboni,Bwa.Kassim Abdallah.