Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi
MJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Lukuvi sasa awapanga Kigamboni kiuwekezaji
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya
Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...
10 years ago
TheCitizen30 Mar
Lukuvi now overturns Prof Tibaijuka’s decisions on Kigamboni new city
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Waziri Lukuvi azindua mpango kabambe wa mji mpya wa Kigamboni
Picha za Mji Mpya wa Kigamboni.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano – Mnadani Vijibweni.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji, Bibi Immaculata Senje akitoa taarifa fupi ya Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni wakati wa Uzinduzi wa Mpango huo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Kigamboni...
11 years ago
KwanzaJamii04 Aug
TULIIFUNZA SOKA MSUMBIJI, SASA INATUADHIBU WENYEWE!
11 years ago
Vijimambo06 Oct
Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.
Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.
"Waliosema Katiba itokane na...
10 years ago
Michuzi24 Sep
11 years ago
Mwananchi16 Apr
‘Lukuvi anajenga hofu kwa wananchi’