TULIIFUNZA SOKA MSUMBIJI, SASA INATUADHIBU WENYEWE!
Na Daniel Mbega, Iringa TANZANIA imetolewa na Msumbiji kwa mara nyingine katika kinyang’anyiro cha kushiriki fainali za 30 za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizopangwa kufanyika nchini Morocco kuanzia Januari 2015. Safari hii katika hatua za awali kabisa kabla haijaingia kwenye makundi. Timu hiyo ilishindwa kabisa kuutumia uwanja wa nyumbani baada ya kukubali kutoka sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa Jumapili, Julai 20, 2014, na sasa ziliporudiana mjini Maputo, Jumapili, Agosti 3,...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi
MJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Aboutrika soka basi sasa!
10 years ago
VijimamboRAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Lina sasa akamia soka wanawake nchi nzima
CHAMA cha Soka ya Wanawake Tanzania (TWFA), kimesema kitahakikisha mikoa yote nchini inacheza ligi kama ilivyo kwa upande wa wanaume. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho,...
5 years ago
Michuzi
LIGI KUBWA KABISA ZIMEREJEA HAPA MERIDIANBET–MUENDELEZO WA KUSISIMUA WA MSIMU WA SOKA, SASA MTANDAONI!

Sasa Unaweza kufurahia ligi kubwa zaidi za soka barani Ulaya na tumekuwekea Odds kubwa kwa ajili yako mtandaoni.
Sherehe za soka zinaendelea kama kawaida na unaweza kubashiri mechi zilizosalia za msimu huu kwa namna nyingine.
Mechi zipo katika mpangilio ule ule ambao mechi za kawaida zilipaswa kuchezwa, tarehe zile zile, siku zile zile za wiki ambazo unazijua na kuzipenda, ni kazi kwako kufurahia mchezo unaoupenda mtandaoni ukiwa na...
5 years ago
Michuzi
BAADA YA LIGI KUU KUSIMAMA KWA SIKU 66, SASA TUKUTANE TENA KWA MKAPA,UHURU NA CHAMAZI...TULILIMISI SOKA LETU BHANA
ZIKIWA zimetimia Siku 66 toka kusimamishwa kwa Michezo mbalimbali ikiwemo soka sasa inatarajiwa kuanza mapema Mwezi Juni wadau wameendelea kujiuliza je Viwango vya wachezaji vitarejea kama awali.
Ikumbukwe kuwa Shughuli zote za kijamii ikiwemo mikusanyiko ilisimamishwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kutokana na janga la Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
11 years ago
Michuzi
WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA


11 years ago
Michuzi19 Apr
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Dk. Shein: Zanzibar wenyewe ni Waafrika
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Zanzibar ni nchi iliyo katika bara la Afrika ambayo ilipaswa kujikomboa na kuwa huru ili kujitawala wenyewe na si kuendelea kubaki chini...