Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi Wa Ripoti Ya Sauti Za Wananchi ;Hakuna Kinachotuhusu Kama Sisi Wenyewe Hatutashiriki


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania kuzindua ripoti ya Sauti za Wananchi LEO

MlayBi. Rose Mlay-Mratibu wa Taifa, Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania akifafanua jambo katika moja ya shughuli za Muungano huo wa Utepe Mweupe hapa nchini.  Muungano huo asubuhi ya leo katika makao makuu ya ofisi zao,  wanatarajia kuzindua rasmi ripoti ya sauti ya wananchi.

Soma hapa kwa taarifa zaidi:

UZINDUZI WA RIPOTI YA SAUTI ZA WANANCHI.pdf 

 

10 years ago

Habarileo

Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviMJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

TEHAMA : Kama Kenya wameweza, sisi tunashindwaje?

Mwezi huu kulikuwa na habari kutoka Chuo Kikuu Jomo Kenyatta kuhusu uzinduzi wa kompyuta mpakato maarufu kama laptop inayoitwa TAIFA . Laptop hii imeundwa chuoni hapo na kupewa jina hilo huku pembeni ikiwa na bendera ya Kenya .

 

9 years ago

Bongo5

Kama unashindana na sisi, unapoteza tu muda — P-Square

P-Square wamewaonya wasanii wa Nigeria na Afrika kwa ujumla wanaotaka kushindana nao kuwa wanapoteza tu muda. Kauli hiyo wameitoa wakati ambapo Peter Okoye aliyeanzisha kipindi cha mashindano ya kucheza, Dance With Peter alipomwalika pacha wake Paul kama jaji mwalikwa. Walipata fursa ya kuulizwa maswali kadhaa ikiwemo mafanikio yao. “Hatuna ushindani wowote; tunashindana sisi wenyewe. Kama […]

 

10 years ago

Vijimambo

Mzindakaya: Waacheni wananchi waamue wenyewe Katiba mpya

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewashauri wanaokusudia kuandamana nchi nzima kutopoteza nguvu na muda kwa kuwa uamuzi wote kuhusu Katiba mpya, utaamuliwa na wananchi kupitia kura ya maoni.

Dk. Mzindakaya, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), alikuwa akizungumzia maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba lililohitimisha shughuli zake mjini Dodoma wiki iliyopita.

"Waliosema Katiba itokane na...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA UREMBO NIKUOLEWA BASI HAWA WASHINDWE WENYEWE KUPATA WAUME KWANI NI WAREMBO HASWA.


Hamisa MobetoMeninah Abdulkareem
Hamisa MobetoLulu Michael
Pitia  picha za warembo hawa watatu na utakubari kuwa wanaurembo na kama wanatulia na kuolewa basi mume hawezi kuchelewa kurudi nyumbani.

Meninah AbdulkareemAdd captionLulu MichaelHamisa MobetoLulu MichaelMeninah la Diva

 

9 years ago

Bongo5

Siku ya Uhuru: Magufuli ni kama sisi tu, aingia mtaani kusafisha mazingira (Picha)

12345749_1070297212994241_164260733_n

Rais Dkt John Magufuli hana tofauti na sisi wananchi wa kawaida.

12345749_1070297212994241_164260733_n
Rais Dkt Magufuli akishiriki kwenye zoezi la kufanya usafi nchi nzima kuadhimisha miaka 54 tangu uhuru wa Tanganyika

Katika kusherehekea siku ya Uhuru, Magufuli na mke wake Mama Janeth wameunga na wananchi nchini kote kusafisha mazingira.

12298956_930258853735557_1202470643_n
Hapa Usafi Tu

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kutangaza kuondoa sherehe za kitaifa za Uhuru zilizooleka kufanyika kila mwaka na badala yake siku hii itumike kufanya usafi ili...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDAMANO YA UZINDUZI WA SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR 2014 WAFANA LEO


 Taswira mbalimbali za watu wa mataifa mbalimbali walioandamana kuashiria uzinduzi wa Tamasha la Sauti za Busara mwaka huu Ngome Kongwe, Zanzibar. Kwa muda wa wiki nzima tamasha hilo litarindima ambapo watu na makundi ya muziki toka kila pembe ya dunia yatatumbuiza



 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani