Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama unashindana na sisi, unapoteza tu muda — P-Square

P-Square wamewaonya wasanii wa Nigeria na Afrika kwa ujumla wanaotaka kushindana nao kuwa wanapoteza tu muda. Kauli hiyo wameitoa wakati ambapo Peter Okoye aliyeanzisha kipindi cha mashindano ya kucheza, Dance With Peter alipomwalika pacha wake Paul kama jaji mwalikwa. Walipata fursa ya kuulizwa maswali kadhaa ikiwemo mafanikio yao. “Hatuna ushindani wowote; tunashindana sisi wenyewe. Kama […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Said Fella: Bila kuwekeza fedha kwenye muziki msanii unapoteza tu muda

Mwanzilishi wa kundi la muziki Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella amesema kama msanii anataka kufanya muziki, lazima yeye au uongozi unaomsimamia wawekeze fedha kwenye muziki wake. Fella amewataka wasanii kuacha kuupeleka muziki wao kishkaji shkaji na waonyeshe nia ya dhati kwenye muziki wao. “Kila msanii ana malengo na muziki anaoufanya, ukiamua kuwa mwanamuziki […]

 

10 years ago

GPL

P-SQUARE WAONYA: SISI WABURUDISHAJI SI WANENGUAJI

Mapacha wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye.
MAPACHA wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square, wamesema hawataki kuitwa wanenguaji, bali waitwe waburudishaji. Wasanii hao ambao hivi sasa wanachukuliwa kuwa waimbaji bora zaidi barani Afrika, wamesema wanajisikia vibaya kuitwa wanenguaji, kwani kuna mambo mengi wanayoyafanya katika tasnia ya muziki.“Nimezoea kuwasikia...

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA BABA WA P-SQUARE KAMA SHEREHE

STORI:LAGOS,NIGERIA/Ijumaa Wikienda
Acha kabisa! Mazishi ya baba wa mastaa wa muziki wa Nigeria, mapacha Peter na Paul Okoye wanaounda ‘Kruu’ ya P-Square, Moses Okoye aliyefariki dunia Novemba 24, 2014 yamekuwa kama sherehe, Ijumaa Wikienda limedodosa kilichojiri. Mwili wa baba wa P-Square, marehemu Moses Okoye ukisindikizwa kwenye gari kwa… ...

 

10 years ago

Mwananchi

TEHAMA : Kama Kenya wameweza, sisi tunashindwaje?

Mwezi huu kulikuwa na habari kutoka Chuo Kikuu Jomo Kenyatta kuhusu uzinduzi wa kompyuta mpakato maarufu kama laptop inayoitwa TAIFA . Laptop hii imeundwa chuoni hapo na kupewa jina hilo huku pembeni ikiwa na bendera ya Kenya .

 

9 years ago

Bongo5

Siku ya Uhuru: Magufuli ni kama sisi tu, aingia mtaani kusafisha mazingira (Picha)

12345749_1070297212994241_164260733_n

Rais Dkt John Magufuli hana tofauti na sisi wananchi wa kawaida.

12345749_1070297212994241_164260733_n
Rais Dkt Magufuli akishiriki kwenye zoezi la kufanya usafi nchi nzima kuadhimisha miaka 54 tangu uhuru wa Tanganyika

Katika kusherehekea siku ya Uhuru, Magufuli na mke wake Mama Janeth wameunga na wananchi nchini kote kusafisha mazingira.

12298956_930258853735557_1202470643_n
Hapa Usafi Tu

Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kutangaza kuondoa sherehe za kitaifa za Uhuru zilizooleka kufanyika kila mwaka na badala yake siku hii itumike kufanya usafi ili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ya Warioba; tusiwe kama wao kwani wao sio sisi

MOJAWAPO ya vitu ambavyo naviogopa sana ninapotafakari hatima ya taifa letu huko mbeleni ni uwezekano kuwa tunaweza kubadilisha watawala bila kubadilisha utawala. Lugha ya kisiasa nchini imebadilika sana kiasi kwamba...

 

10 years ago

Bongo5

Timbaland awataja Tupac na Notorious B.I.G. kama rappers bora wa muda wote

Timbaland amedai kuwa Tupac na Notorious B.I.G. ndio rappers bora wa muda wote. Producer huyo mahiri alisema hayo kwenye mahojiano na kipindi cha ESPN cha First Take na kuulizwa ni rappers gani wakali kuwahi kutokea kwenye muziki wa hip hop. Pamoja na kuwataja rappers hao marehemu alimpa sifa zake pia Jay Z anayemchukulia kama kaka […]

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA USAILI WA SHINDANO LA KUONYESHA VIPAJI VYA KUIGIZA LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS MUDA HUU

Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwai shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi   Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji kuanza. Kundi la Kwanza la Vijana Waliojitokeza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani