P-SQUARE WAONYA: SISI WABURUDISHAJI SI WANENGUAJI
![](http://api.ning.com:80/files/*67Uoec4vv3gQX6*rfKjkABzKCppp*JPpEsmLrsNXI-VaERbRsENvSc*xr8lCt*blLzl5eLi5OSFDDWcOY-Ji-q3EC4vt*gG/psqure_white_selectastyle_.jpg?width=650)
Mapacha wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye. MAPACHA wa muziki wa R&B wa Nigeria, Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la P-Square, wamesema hawataki kuitwa wanenguaji, bali waitwe waburudishaji. Wasanii hao ambao hivi sasa wanachukuliwa kuwa waimbaji bora zaidi barani Afrika, wamesema wanajisikia vibaya kuitwa wanenguaji, kwani kuna mambo mengi wanayoyafanya katika tasnia ya muziki.“Nimezoea kuwasikia...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Oct
Kama unashindana na sisi, unapoteza tu muda — P-Square
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Wanenguaji wawili wafungwa jela Misri
11 years ago
Habarileo27 Mar
Pemba waonya chokochoko Muungano
MTANDAO wa Watanzania wenye asili ya Pemba waishio Bara (NEPPELTA), umehadharisha juu ya chokochoko na chuki zinazolenga kuvunja muungano na kusema ukivunjika, hautawaacha salama.
9 years ago
Habarileo22 Sep
Wazee waonya wapigadebe wa urais
WAZEE wa vyama mbalimbali vya siasa mkoani hapa, wamecharuka na kutoa onyo kwa wapiga debe wa wagombea mbalimbali katika kampeni za uchaguzi, kama urais na ubunge, wanaotoa lugha chafu.
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Ruangwa waonya uchimbaji holela
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Makada CCM waonya kubebana
BAADHI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watamkataa mgombea yeyote wa urais atakayebebwa au kupata upendeleo wa baadhi ya vigogo au kundi lolote kwa maslahi binafsi. Wakizungumza na...
10 years ago
GPLTWAWEZA WAONYA VURUGU UCHAGUZI MKUU!
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Umoja wa Mataifa waonya hatari ya Ebola
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Mabalozi waonya maafisa wafisadi Kenya