Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabalozi waonya maafisa wafisadi Kenya

Mabalozi wa mataifa ya kigeni wameonya kuwa huenda mataifa yao yakawapiga marufuku maafisa wa serikali wanaojihusisha na ufisadi kuzuru nchi hizo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani waonya dhidi ya shambulio la kigaidi katika hoteli moja Nairobi Kenya

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nani wafisadi zaidi Afrika?

Idara ya polisi na wafanyibiashara ndio wafisadi zaidi Barani Afrika, linasema shirika la "Transparency International"

 

11 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa Somalia wanunia Kenya

Maafisa wa Somalia wamekataa kukutana na maafisa wa Kenya kujadili mkataba uliofikiwa mwaka jana kuhusu kuwarejesha kwao wakimbizi wasomali wanaoishi nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maafisa wadhibiti ulinzi Kenya

Maafisa wa usalama nchini Kenya wamedhibiti ulinzi baada ya kunasa silaha nzito kutoka kwa watu wanaoshukiwa kuwa magaidi mjini Mombasa Pwani ya Kenya

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku

Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Kenya kuwatuma maafisa 170 wa afya

Wafanyikazi 170 wa afya wanatarajiwa kuondoka nchini Kenya na kuelekea nchini Sierra Leone na Liberia siku ya ijumaa

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 31, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA KENYA NA MSUMBIJI IKULU DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Chirau Ali Mwakwere, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania, Dkt. Vicente Veloso, aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 31, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe apokea Hati za Utambulisho za Mabalozi wapya wa Kuwait,Malawi,Kenya na Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Ibrahim Al-Najem leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Malawi hapa nchini Mhe.Hawa Ndilowe leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Balozi mpya wa Afrika Kusini hapa nchini Mhe.Thamsanqa Dennis Msekelu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani