Maafisa wa Somalia wanunia Kenya
Maafisa wa Somalia wamekataa kukutana na maafisa wa Kenya kujadili mkataba uliofikiwa mwaka jana kuhusu kuwarejesha kwao wakimbizi wasomali wanaoishi nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili09 Jul
Maafisa wa usalama watimuliwa Somalia
Mkuu wa polisi na mwenzake wa ujasusi nchini Somalia, wameachishwa kazi kufuatia shambulizi dhidi ya ikulu ya Rais
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
UN: Walaani kuuawa maafisa wake Somalia
Umoja wa Mataifa umelaani kuuawa kwa maafisa wake wawili nchini Somalia
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
30 wauawa maafisa wa usalama wakipigana Somalia
Watu 40,000 wamekimbia makaazi yao kutokana na mapigano kati ya maafisa wa usalama kutoka maeneo mawili
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Maafisa wadhibiti ulinzi Kenya
Maafisa wa usalama nchini Kenya wamedhibiti ulinzi baada ya kunasa silaha nzito kutoka kwa watu wanaoshukiwa kuwa magaidi mjini Mombasa Pwani ya Kenya
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Mabalozi waonya maafisa wafisadi Kenya
Mabalozi wa mataifa ya kigeni wameonya kuwa huenda mataifa yao yakawapiga marufuku maafisa wa serikali wanaojihusisha na ufisadi kuzuru nchi hizo.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku
Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ebola:Kenya kuwatuma maafisa 170 wa afya
Wafanyikazi 170 wa afya wanatarajiwa kuondoka nchini Kenya na kuelekea nchini Sierra Leone na Liberia siku ya ijumaa
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Mgogoro wa mpaka Kenya na Somalia
Serikali ya Somalia leo hii itafungua rasmi kesi dhidi ya kenya katika Mahakama ya kimataifa (ICJ) kufuatia mgogoro wa mpaka baina ya nchi hizo mbili.
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Wakimbizi wa Somalia:Kenya yaonya UN
Serikali ya Kenya imeupatia Umoja wa Mataifa makataa ya miezi mitatu kuwahamisha wakimbizi wa Somalia wapatao nusu milioni
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania