Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makada CCM waonya kubebana

BAADHI ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema watamkataa mgombea yeyote wa urais atakayebebwa au kupata upendeleo wa baadhi ya vigogo au kundi lolote kwa maslahi binafsi. Wakizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wana-CCM Dodoma waonya wajumbe

Chama cha Mapinduzi, Kata ya Chang’ombe katika Manispaa ya Dodoma kimeonya kuwa Katiba mpya isipotoa matumaini ya wananchi kupimiwa ardhi, hawataitambua na hawatakuwa tayari kupiga kura ya kuchagua kiongozi yeyote katika maeneo yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM wamvaa JK

Makada wawili wa CCM wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu, anaondoa makundi ndani ya chama hicho, ambacho kinakabiliwa na kazi ngumu ya kumpata mgombea wake bila ya kutokea mpasuko.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yawasulubu makada wake

KAMATI ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewasulubu makada wake watatu miongoni mwa sita ambao wanatuhumiwa kwenda kinyume cha maadili ya chama hicho tawala. Makada hao ambao baadhi yao...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM kuwabana makada escrow

Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM leo inaketi kutoa hatima ya makada wa chama hicho waliotajwa kuhusika katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Mtanzania

Makada CCM wamgwaya Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.

Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza vikao vya chama.

Akizungumza na MTANZANIA jana kwa njia...

 

11 years ago

Mwananchi

Makada CCM wanusurika kifo

Makada saba wa CCM, wakiwamo makatibu wawili wa wilaya, wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakilitumia kusambaza vitambulisho vya mawakala kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,kupinduka.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Makada wa CCM wajiandalia safari ya ICC

UCHAGUZI mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uchaguzi wa kumchagua Rais wa Zanzibar unaotarajiwa Oktoba 25 unakabiliwa na mtihani mgumu kutokana na kampeni chafu inayoendeshwa na makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). […]

The post Makada wa CCM wajiandalia safari ya ICC appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kilifu ataka makada wanaokubalika CCM


NA SOLOMON MWANSELE, MBARALI
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi, amekiomba Chama kufanya tathimini ya watu watakaogombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Aidha, alisema viongozi ambao hawakubaliki wasigombee tena na badala yake wateuliwe wanaokubalika.
Kilufi alisema hayo jana kwenye kikao cha kamati ya siasa ya Chama ya wilaya ya Mbarali, kilichohudhuriwa na Katibu wa Chama mkoa wa Mbeya, Mwangi Kundya.
Kundya yupo katika ziara ya kuzitembelea wilaya zote za Mkoa wa Mbeya na katika ziara hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya makada sita wa CCM leo

Dodoma. Kamati Kuu ya CCM, ambayo ndiyo inaanzisha mambo yote muhimu ya chama hicho, leo inakutana kuandaa ajenda za mkutano wa Halmashauri Kuu, huku suala linalosubiriwa kwa hamu likiwa ni hatima ya makada sita wanaotajwa kuwania urais ambao wanatumikia adhabu ya kuzuiwa kujihusisha na uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani