Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZISHI YA BABA WA P-SQUARE KAMA SHEREHE

STORI:LAGOS,NIGERIA/Ijumaa Wikienda
Acha kabisa! Mazishi ya baba wa mastaa wa muziki wa Nigeria, mapacha Peter na Paul Okoye wanaounda ‘Kruu’ ya P-Square, Moses Okoye aliyefariki dunia Novemba 24, 2014 yamekuwa kama sherehe, Ijumaa Wikienda limedodosa kilichojiri. Mwili wa baba wa P-Square, marehemu Moses Okoye ukisindikizwa kwenye gari kwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye

Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki dunia Jumatatu Nov.24. Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku […]

 

10 years ago

Bongo5

Kama unashindana na sisi, unapoteza tu muda — P-Square

P-Square wamewaonya wasanii wa Nigeria na Afrika kwa ujumla wanaotaka kushindana nao kuwa wanapoteza tu muda. Kauli hiyo wameitoa wakati ambapo Peter Okoye aliyeanzisha kipindi cha mashindano ya kucheza, Dance With Peter alipomwalika pacha wake Paul kama jaji mwalikwa. Walipata fursa ya kuulizwa maswali kadhaa ikiwemo mafanikio yao. “Hatuna ushindani wowote; tunashindana sisi wenyewe. Kama […]

 

10 years ago

Bongo5

Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015

Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. P-Square na baba yao wakati wa mazishi ya mama yao Mzee huyo anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa January 30 huko nyumbani kwao Ifite Dunu, Anambra State. […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mazishi ya Baba wa Msanii Steve Nyerere

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya baba yake staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere yaliyofanyika leo makaburi ya Kinondoni. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihibidiwe Amein.


Picha kwa hisani ya Le Mutuz on Instagram
 

 

10 years ago

GPL

DIAMOND ASAKWA MAZISHI YA BABA WA BABU TALE

Dustan Shekidele, Morogoro
BABA mzazi wa Meneja wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa juzi Jumanne kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro lakini miongoni mwa mambo ya kushangaza ni kitendo cha baadhi ya waombolezaji kumsaka mwanamuziki Nasibu bila mafanikio. Staa wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’. Hilo lilijitokeza baada ya msafara uliotokea Dar kufika eneo hilo ambapo vijana walilizingira...

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA MAZISHI YA BABA YAKE BENJAMINI MWANAMBUU WA GPL

Jeneza likiingizwa kaburini.
Mke na watoto wa marehemu wakiweka mashada ya maua.…

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA BABA WA MBUNGE MARTHA MLATA JANA

Mbunge Martha Mlata akifarijiwa na waliohudhuria mazishi ya baba yake mzazi. Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania ‘CHAMUITA,’ Stella Joel na mwakilishi wa wasanii wa filamu, Dokii. Baadhi ya wabunge na ndugu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kaburi la baba mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida ambaye pia… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda aongoza mamia mazishi ya Baba wa msanii Steve Nyerere

Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele

Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele.

Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni.

Ibada ya maziko ikiendelea.

Hali ilivyokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA MAALUM YA MAZISHI YA BABA MPENDWA WA MAMERTHA NA HENRY KENTE

Mr. & Mrs. Deo Mosha wanawakaribisha kuungana nao kwenye Ibada maalum ya mazishi ya Baba Mpendwa wa Mamertha na Henry Kente aliyefariki Jumapili, Dar-es-Salaam, Tanzania. Ibada itakua kesho, Jumatano tar. 4/2/2014 kuanzia saa moja kamili jioni (7:00pm) nyumbani kwao. Address ni 4402 Hatties Progress Dr. Bowie, MD 20720. Kwa habari zaidi, wasiliana na Deo Mosha-240 441 8433Vitalis Gunda 240 383 6950 Katule 301 433 1048Mrs. Gloria Semiti 301 325 1843Tafadhali zingatia muda.Karibuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani