IBADA MAALUM YA MAZISHI YA BABA MPENDWA WA MAMERTHA NA HENRY KENTE
Mr. & Mrs. Deo Mosha wanawakaribisha kuungana nao kwenye Ibada maalum ya mazishi ya Baba Mpendwa wa Mamertha na Henry Kente aliyefariki Jumapili, Dar-es-Salaam, Tanzania. Ibada itakua kesho, Jumatano tar. 4/2/2014 kuanzia saa moja kamili jioni (7:00pm) nyumbani kwao. Address ni 4402 Hatties Progress Dr. Bowie, MD 20720. Kwa habari zaidi, wasiliana na Deo Mosha-240 441 8433Vitalis Gunda 240 383 6950 Katule 301 433 1048Mrs. Gloria Semiti 301 325 1843Tafadhali zingatia muda.Karibuni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog05 Feb
Ibada maalum ya mazishi ya Baba mpendwa wa Mamertha na Henry Kente yafanyika
Mamertha na Deo wakifuatilia ibada ya mazishi ya Mr. Wilbard Kente baba mzazi wa Mamertha na Henry aliyefariki siku ya Jumapili Feb 1, 2015 Tanzania na kuzikwa siku ya Jumatano Februari 4, 3015 Mbezi jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na ibada ya mazishi iliyofanyika siku hiyo ya Jumatano Feb 4, 2015 Bowie, Maryland nchini Marekani nyumbani kwa Mr & Mrs Mosha na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na...
10 years ago
VijimamboIBADA MAALUM YA MAZISHI YA BABA MPENDWA WA MAMERTHA NA HENRY KENTE JUMATANO
10 years ago
GPLIBADA MAALUM YA MAZISHI YA BABA MPENDWA WA MAMERTHA NA HENRY KENTE JUMATANO
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YTWVBncG30Q/VhRNGN4o_BI/AAAAAAAEADM/IIDOQxeuDq4/s72-c/e0af04997296fa937ff6fece4c762056.jpg)
IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO
![](http://2.bp.blogspot.com/-YTWVBncG30Q/VhRNGN4o_BI/AAAAAAAEADM/IIDOQxeuDq4/s640/e0af04997296fa937ff6fece4c762056.jpg)
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565
5 years ago
CCM BlogKANISA HALISI LA MUNGU BABA TEGETA LAFANYA IBADA MAALUM KUITIKA MWITO WA RAIS DK. MAGUFULI KUHUSU CORONA
TEGETE, Dar es Salaam
Kanisa Halisi la Mungu leo limetumia ibada yake ya Jumapili,...
10 years ago
Vijimambo13 Mar
IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV
Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na Deo Mosha: 240 441...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s1600/unnamed+(18).jpg)
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...
9 years ago
VijimamboIBADA YA KUMUOMBEA MPENDWA MAMA KETANG'ANYENYI
Broadcast live streaming video on Ustream
Broadcast live streaming video on Ustream
Padri Lehandly Kimario akiongoza ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama na bibi yetu Bettisheba Pole Ketang'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mtoto wa marehemu Felicia Simms akisoma wasifu wa marehemu katika ibada ya kumuombea mpendwa dada, mama, bibi Bettisheda Pole Keteng'enyi iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 4, 2015 Silver Spring, Maryland...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s72-c/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
IBADA YA MAOMBI YA MPENDWA MAMA YETU DMV JUMAPILI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3RJKVvYUGXY/VgxcM47towI/AAAAAAAD_J4/nCb1SG3-leE/s640/b4a6297d3516cc010eda1174237cbdd5.jpg)
Familia za Ketangenyi na Musika zinawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya maombi ya kumuombeamarehemu mpendwa Mama yetu, Dada yetu, Bibi yetuBettisheba Pole Ketang’enyialiyefariki asubuhi ya tarehe 30 September, 2015.
Misa itafanyika siku ya Jumapili, tarehe 4 October, 2015 kuanzia saa mbili asubuhi (8:00 am) hadi saa tano kasorobo (10:45 am.)
Location: Francis Collins Funeral Home500 University Blvd, WestSilver Spring, MD...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10