Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO

Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..Mahali ni 35 E.STANTON AVE, COLUMBUS OH 43214. Karibuni sana na Mungu awabariki.
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO

Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Waacheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie;kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. - Mathayo 19:14.
Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Karibu Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Novemba 02, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu mchana

Karibu ubarikiwe na WaimbajiSIFA Choir – Columbus, OhioIYK Poster Nov 2,2014Tembelea tovuti yetu: ww.iykcolumbus.org

 

9 years ago

Vijimambo

IBADA YA MAOMBI YA MPENDWA MAMA YETU DMV JUMAPILI

Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wake
Familia za Ketangenyi na Musika zinawakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika ibada ya maombi ya kumuombeamarehemu mpendwa Mama yetu, Dada yetu, Bibi yetuBettisheba Pole Ketang’enyialiyefariki asubuhi ya tarehe 30 September, 2015.
Misa itafanyika siku ya Jumapili, tarehe 4 October, 2015 kuanzia saa mbili asubuhi (8:00 am) hadi saa tano kasorobo (10:45 am.)
Location: Francis Collins Funeral Home500 University Blvd, WestSilver Spring, MD...

 

9 years ago

Vijimambo

ANGALIA LIVE IBADA YA MAMA YETU MPENDWA BETTISHEBA

Broadcast live streaming video on Ustream

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani