IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO
Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO

Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Jumapili Septemba 07, 2014

Karibuni wote Jumapili hii ya tarehe 7 Septemba kwenye Sikukuu ya Mikaeli na Watoto. Ibada itaongozwa na watoto ambao watatuonyesha vipaji vyao mbalimbali ambavyo Mwenyenzi Mungu amewabariki navyo. Tafadhali mkaribishe na rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
10 years ago
Vijimambo
IBADA YA KISWAHILI YA SIKUKUU YA KRISMASI LEO ALHAMISI DEC 25, 2014 COLUMBUS,OHIO

10 years ago
Michuzi.jpg)
11 years ago
Michuzi28 Oct
Karibu Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Novemba 02, 2014 Kuanzia saa tisa na nusu mchana

10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo