IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV
Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania.
Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na Deo Mosha: 240 441...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV
11 years ago
MichuziSHUKURANI NA MWALIKO KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU KWA AJILI YA MAREHEMU LEEFORD C. CENGE SIMBA
Kwa heshima kubwa tunatoa shukrani za dhati kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohamed Gharib Bilal Makamu wa...
9 years ago
MichuziIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO
11 years ago
Michuzi11 years ago
GPL11 years ago
GPLMISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV
10 years ago
MichuziMBATIA NA MREMA WAKUTANA KANISANI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya...
10 years ago
VijimamboWABUNGE MH,MBATIA NA MH,MREMA WAKUTANA KANISANI,NI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI.
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA REV. EDWARD MMANYWA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI