Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.Abba Genes akisoma somo.Jerminr Shelukindo akisoma somo.Henry Kente...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV

Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 

Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020 
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na  Deo Mosha: 240 441...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA REV. EDWARD MMANYWA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

Ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Re. Dr. Edward Mmanywa iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 26, 2014 Winston Salem, North Carolina nchini Marekani na kuhudhuria na ndugu jamaa na marafiki.Mchungaji Dupe Akinola akiongoza ibada iliyofanyika katika kanisa la Christ Center Assembly siku ya Jumapili Octoba 26, 2014.Mchungaji Yinka Akinola akitoa neno la kuwafariji wafiwa katika kanisa la Christ Center Assembly ilikofanyika ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Rev. Dr. Edward...

 

11 years ago

Michuzi

SHUKURANI NA MWALIKO KATIKA IBADA YA MISA TAKATIFU KWA AJILI YA MAREHEMU LEEFORD C. CENGE SIMBA

 Mhe. Sophia M. Simba (Mb) na Familia yake,  anatoa shukrani zake za dhati kwa wote walioshirikiana naye katika kipindi kigumu cha kumuuguza mtoto wake mpendwa LEEFORD C. CENGE SIMBA (pichani), hadi alipoiaga dunia tarehe 06 Machi, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuzikwa tarehe 08 Machi, 2014 katika makaburi ya Kinondoni.
Kwa heshima kubwa tunatoa shukrani  za dhati  kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mohamed Gharib Bilal Makamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO

Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...

 

11 years ago

GPL

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV‏

Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014.
Wachungaji walioongoza misa hiyo wakiiombea familia ya marehemu kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika…

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA NA MREMA WAKUTANA KANISANI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI

Mbunge wa kuteuliwa na Rais Mhe. James Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe. Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE MH,MBATIA NA MH,MREMA WAKUTANA KANISANI,NI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI.

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki/Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba Kotelailokofanyika ibada hiyoMbunge Mbatia akiingia kanisani humo.Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshiunaofanyika kando ya Usharika huo.Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop Moshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani