Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBATIA NA MREMA WAKUTANA KANISANI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI

Mbunge wa kuteuliwa na Rais Mhe. James Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe. Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE MH,MBATIA NA MH,MREMA WAKUTANA KANISANI,NI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI.

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki/Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba Kotelailokofanyika ibada hiyoMbunge Mbatia akiingia kanisani humo.Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshiunaofanyika kando ya Usharika huo.Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop Moshi...

 

9 years ago

Michuzi

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO

Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV

Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 

Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020 
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na  Deo Mosha: 240 441...

 

10 years ago

Vijimambo

Ibada ya shukrani na kumbukumbu ya Baba Peter Msungu na Kaka Gerald A. Natumwa


Steve akisoma neno la kwanza wakati wa ibada hiyo ya shukurani na kumbukumbu.
Dada Kie akisoma wasifu wa Marehemu Gerald NatumwaNdugu Vitalis Gunda akitoa shukurani kwa niaba ya familia ya Steve na Esther Msungu

Binamu wa Steave Msungu , Ndugu  Vicent akisoma wasifu wa Marehemu Mzee Msungu















Picha zaidi hapa kwa iskajojo

 

9 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO

Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..Mahali ni 35 E.STANTON AVE, COLUMBUS OH 43214. Karibuni sana na Mungu awabariki.
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565

 

9 years ago

Michuzi

MREMA ACHUKIZWA NA RAFU ZA MBATIA KATIKA JIMBO LA VUNJO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Lyatonga Mrema amesema kuwa kushindwa kwake ubunge kulitokana na michezo mchafu uliochezwa na mshindi wa ubunge wa jimbo hilo, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR-MAGEUZI, James Mbatia
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mrema amesema kuwa  mshindi wa jimbo hilo amekuwa akionywa na msimamizi  wa uchaguzi kutokana na matumizi ya vipeperushi ambavyo yeye alijipigia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani