Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MAREHEMU MZEE MAKWAIA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MZEE GODFREY MSEI

Marehemu Mzee Godfrey Daud Msei
Mpendwa Baba yetu, mpaka kufikia tarehe 15 Julai 2015 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Bwana bila ya neno la kwaheri kwetu.Tunakukumbuka sana na tunakosa uwepo wako,upendo wako na ucheshi wako ila tunasema kiroho tuko pamoja nawe daima.
Unakumbukwa na Mkeo,Bi. Elizabert,Watoto zako Fabian Msei,Daud Msei ,Angella Msei,Jonathan (Gia) Msei,Rev. John Msei pamoja na James Msei,Wajukuu zako,Mama yako Mzazi Bi. Mboza,Dada zako,Shemeji zako,Kaka zako,ndugu,jamaa...

 

9 years ago

Michuzi

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO

Pr. Mwakabonga akiongoza ibada ya kumbukumbu ya marehemu Godfrey Mbiu Mngodo iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 31, 2015 Columbus, Ohio nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wakiwemo wafanyakazi wa kituo cha utangazaji Sauti ya Amerika idhaa ya Kiswahili (VOA). Marehemu Godfrey Mbiu Mngodo aliaga Dunia Tarehe 11 Septemba, 2015 Dar es Salaam na kuzikwa Tanga. Godfrey Mbiu Mngodo amefanya kazi katika sehemu mbalimbali kama Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), Voice of...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV

Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 

Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020 
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na  Deo Mosha: 240 441...

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA NA MREMA WAKUTANA KANISANI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI

Mbunge wa kuteuliwa na Rais Mhe. James Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe. Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mbunge Mrema akiwa ameketi na mbunge mwenzake Mbatia wakifuatilia ibada hiyo.
BabaAskofu Dkt Fredrick Shoo akiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu ya miaka 29 ya kifo cha aliyekuwa askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WABUNGE MH,MBATIA NA MH,MREMA WAKUTANA KANISANI,NI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BABA ASKOFU STEPHANO MOSHI.

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatia akizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema mara baada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada ya kumbukumbu ya askofu wa kwanza wa KKKT dayosisi ya Kaskazini iliyofanyika mwishoni mwa wiki/Kanisala la KKKT ,Usharika wa Mamba Kotelailokofanyika ibada hiyoMbunge Mbatia akiingia kanisani humo.Ujenzi wa taasisi ya saratani ya Bishop Moshiunaofanyika kando ya Usharika huo.Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bishop Moshi...

 

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.Abba Genes akisoma somo.Jerminr Shelukindo akisoma somo.Henry Kente...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani