KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MZEE GODFREY MSEI
![](http://3.bp.blogspot.com/-2ZmaTr0rosA/U8fE_uA21wI/AAAAAAAF3B4/ySZqENN9_ak/s72-c/IMG-20140717-WA0005.jpg)
Marehemu Mzee Godfrey Daud Msei
Mpendwa Baba yetu, mpaka kufikia tarehe 15 Julai 2015 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Bwana bila ya neno la kwaheri kwetu.Tunakukumbuka sana na tunakosa uwepo wako,upendo wako na ucheshi wako ila tunasema kiroho tuko pamoja nawe daima.
Unakumbukwa na Mkeo,Bi. Elizabert,Watoto zako Fabian Msei,Daud Msei ,Angella Msei,Jonathan (Gia) Msei,Rev. John Msei pamoja na James Msei,Wajukuu zako,Mama yako Mzazi Bi. Mboza,Dada zako,Shemeji zako,Kaka zako,ndugu,jamaa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FGJhl05wauY/U4HdZAK5SaI/AAAAAAAADpA/hMUqy3gHdo0/s72-c/MKsDad.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*ocRdA7x0I6uN1sFiaSwiYTBX6h1wvpOwmzfGy*6SoaA14rtXyxt2*08APhlEwC7idPS3eVcsD0FylRTAY9DurW/MKsDad.jpg?width=650)
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
JK aomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo
Marehemu Mzee Godfrey Mngodo enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo ambaye alifariki dunia, Ijumaa, Septemba 11, 2015 mjini Dar es Salaam.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na taarifa za kifo cha...
9 years ago
MichuziIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU GODFREY MNGODO, COLUMBUS, OHIO
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YTWVBncG30Q/VhRNGN4o_BI/AAAAAAAEADM/IIDOQxeuDq4/s72-c/e0af04997296fa937ff6fece4c762056.jpg)
IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO
![](http://2.bp.blogspot.com/-YTWVBncG30Q/VhRNGN4o_BI/AAAAAAAEADM/IIDOQxeuDq4/s640/e0af04997296fa937ff6fece4c762056.jpg)
Kwa maelezo zaidi na maelekezoMichael Mngodo 614 446 5565
10 years ago
CloudsFM05 Dec
Wananchi wameedhimisha mwaka mmoja toka waondokewe na kiongozi wao Mzee Nelson Mandela ambaye aliiongoza nchi hiyo kutoka mikononi mwa Makaburu baada ya kufungwa miaka 27 jela.
Maadhimisho hayo yametanguliwa na ibada ya maombi ambapo wamekaa kimya kwa dakika tatu, na kisha kuweka mashada za maua wakiongozwa na wazee waliopigana na makaburu wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, kumekuwa na upulizaji wa vuvuzela nchini kote, kugonga kengele, ngoma, na kutakuwa na mechi ya mchezo wa kirafiki wa kriketi.
Mandela alikuwa Rais wa kwanza mzalendo kuiongoza Afrika Kusini kwa kipindi cha muhula mmoja wa miaka mitano kuanzia mwaka 1994 hadi 1999 alipoachia madaraka kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0-Ea4ZP-DP8/VfXxwY_1GRI/AAAAAAAH4eE/lsX8UJvvUrg/s72-c/Mngodo.jpg)
TANGAZO LA MSIBA WA MZEE GODFREY MNGODO TANZANIA NA MAREKANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-0-Ea4ZP-DP8/VfXxwY_1GRI/AAAAAAAH4eE/lsX8UJvvUrg/s640/Mngodo.jpg)
Tunasikitika kuwaarifu kwamba mwenyekiti wetu wa kwanza wa mfuko Mr Michale Mgodo amepatwa na msiba wa baba yake mzazi Marehemu Godfrey Mngodo (pichani) uliotokea katika hospitali ya Dar Group jijini Dar es salaam juzi.
Mipango ya mazishi inafanyika
nyumbani Tanzania na hapa USA kwa Mr and Mrs Mngodo.
Address yao ni
549 Wildindingo Run,
Westerville,
Ohio 43081.
Kwa maelezo Zaidi please wasiliana na Michael Mngodo kwa kupitia number 614 446 5556, Teddy Mngodo 614 772 1591 na mwenyekiti...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NwjGbMnkfvU/Xq8IRkQD0-I/AAAAAAALo-A/yKfnF8iB2T0YHL6mNmqrFaKRAJmGW1AnACLcBGAsYHQ/s72-c/New%2BPicture.png)
TANGAZO LA KUMBUKUMBU YA MZEE NOVATI RUTAGERUKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NwjGbMnkfvU/Xq8IRkQD0-I/AAAAAAALo-A/yKfnF8iB2T0YHL6mNmqrFaKRAJmGW1AnACLcBGAsYHQ/s640/New%2BPicture.png)
MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA
TAREHE 5 - MEI - 2020, UMETIMIZA MIAKA KUMI TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. NI IMANI YETU KUWA MWENYEZI MUNGU AMESHAWAKUTANISHA HUKO MBINGUNI NA MPENDWA MKEO THERESIA NYAMICHWO NA BINTI YAKO MPENDWA FROLIDA AMBAO NAO WAMETWALIWA NA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sDGiPzTmUwk/VIFypD3Sl-I/AAAAAAACv7U/_FSc0PzF2wM/s72-c/New%2BPicture.png)
Kumbukumbu ya kifo miaka 9 ya Mzee Donati Kezirahabi
![](http://1.bp.blogspot.com/-sDGiPzTmUwk/VIFypD3Sl-I/AAAAAAACv7U/_FSc0PzF2wM/s1600/New%2BPicture.png)
Ni miaka 9 tangu ulipotangulia katika makazi yako ya milele siku ile ya huzuni 5 Dec 2005. Tunakumbuka kwa huzuni upendo na uongozi wako katika familia. Miongozo na mapenzi makubwa uliyotupa ndio yanayotuwezesha kusimama na kumsifu Bwana kila siku.
Unakumbukwa sana na mke wako Hidaya Kezirahabi, watoto wako wapenzi na wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.
“Bwana akupatie...