Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBADA YA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA REV. EDWARD MMANYWA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

Ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Re. Dr. Edward Mmanywa iliyofanyika siku ya Jumapili Octoba 26, 2014 Winston Salem, North Carolina nchini Marekani na kuhudhuria na ndugu jamaa na marafiki.Mchungaji Dupe Akinola akiongoza ibada iliyofanyika katika kanisa la Christ Center Assembly siku ya Jumapili Octoba 26, 2014.Mchungaji Yinka Akinola akitoa neno la kuwafariji wafiwa katika kanisa la Christ Center Assembly ilikofanyika ibada ya kumbukumbu ya maisha ya marehemu Rev. Dr. Edward...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SIMON NA ANGIE WAMEREMETA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

Simon na Angie wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa Jumamosi Oct 25, 2014 mjini Winston Salem jimbo la North Carolina nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki.Simon akimchum kwa mara ya kwanza Angie kama mke wake. Wapambe wa bwana harusi. Wapambe wa bibi harusi Madhari nzuri inavyoonekana wakati ndoa ikiendelea. Wageni waalikwa wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki.kushoto ni wazazi wa Angie Mr & Mrs Chesebro wakiwa pamoja na kaka zake AngiePastor Er Groover akiwafungisha ndoa...

 

10 years ago

Vijimambo

HARUSI YA SIMON NA ANGIE YAFANA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA

Simon na Angie wakishuka kwenye gari tayari kuingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Octoba 25, 2014 mjini Winston Salem jimbo la North Carolina nchini Marekani.Bwana na Bibi harusi wakiingia ukumbini huku wakisindikizwa na waimbo wa Issa Matona Kimasomaso.Bwana na bibi harusi wakiwa meza yao katika siku yao maalum ya harusi yao.Bwana na bibi harusi katika densi yao ya kwanza kwa mara ya kwanza kama mume na mke.Bibi harus akicheza na baba yake Bwn. Thom Chesebro

 

10 years ago

Vijimambo

MAENDELEO YA MSIBA WA BABA REV. DR. EDWARD MMANYWA

Kutakuwa na ibada ya marehemu Baba Rev. Dr. Edward Mmanywa siku ya Jumapili 10/26/2014 saa 8 mchana (2pm)Adress:RCCG- Church2721 West Mountain StreetKernersville, NC 27284.Service itaanza exactly at 2pm. We will eat together after the Service.Kwa wale ambao wataweza kufika kwenye ibada muda huo, wafiwa watakua nyumbani kuanzia saa 11 jioni (5pm.)Adress ya nyumbani ni:1809 Hunters Forest DriveWinston-Salem NC 27103. 
Kwa mawasialiano na maelezo zaidi Namba za Simu 336-575-3306, 336-287-6169,...

 

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA VIONGOZI UMOJA WA WATANZANIA NORTH CAROLINA UTNC 2014, ANNA SIMTAJI MMANYWA NDIYE MWENYEKITI MPYA

Uchaguzi wa viongozi uliofanyika Jumamosi Novemba 1, 2014 na kuwachagua viongozi wapya wa jumuiya ya Watanzania North Carolina ambako aliyekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Geofrey Lipana alimaliza muda wake na kumkabidhi kiti Anna Simtaji Mmanywa ambaye atasaidiana na viongozi wenzake waliochaguliwa. Katika uchaguzi huo,  kura zilipigwa kwa wazi na kuandika historia mpya kwenye jimbo hilo la North Carolina. 
Mbali na Anna Simtaji Mmanywa viongozi wengine waliochaguliwa ni Katibu ni Mshobozi...

 

9 years ago

Vijimambo

DEDA'S COUTURE-BY 3 FASHION WEEK WINSTON-SALEM NORTHCAROLINA YAFANA

 Miss Teddy na Flora Wakiwa kwenye vivazi kwenye Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.Kutoka kushoto ni  Flora, Talkia na Teddy ambao ndio wamiliki wa Deda's Couture By-3Walimbwende wa vivazi wakionyesha vivazi siku ya Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Miss Teddy na Flora wakiwa na vivazi vyao mbele ya mashabiki.Ukodak Moment.Picha ya pamoja Bi Zainab Bibie Teddy

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV

Mchungaji Essie Cannon akiongoza ibada ya kumbukumbu na shukurani ya maisha ya marehemu Mr. Wilbard W. Kente aliyefariki February 1, 2015 Tanzania. Ibada ya kumbukumbu ilifanyika katika kanisa la Universal Holiness lililopo Washington, DC nchini Marekani.Deo Mosha akisoma wasifu wa marehemu Mr. Wilbard Kente katika ibada ya kumbukumbu na shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi March 21, 2015 Washington, DC nchini Marekani.Abba Genes akisoma somo.Jerminr Shelukindo akisoma somo.Henry Kente...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAREHEMU MR. WILBARD W. KENTE DMV

Familia ya Deo na Mamertha Mosha pamoja na Henry Kente wanawakaribisha kwenye Ibada ya kumbukumbu na shukrani ya maisha ya marehemu Baba yao mpendwa Mr. Wilbard W. Kente, aliyefariki na kuzikwa tarehe 2/4/2015 huko Dar-es-Salaam, Tanzania. 

Ibada itafanyika hapa Washington, DC Jumamosi, tarehe 21 March, 2015 kuanzia saa tisa mchana (3 pm) Anuani ya kanisa ni Universal Holiness Church 2426 Elvans Rd. SE,Washington, DC 20020 
Kwa habari zaidi, unaweza kuwasiliana na  Deo Mosha: 240 441...

 

10 years ago

Vijimambo

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

VIKWANGUA ANGA MJI WA RALEIGH, NORTH CAROLINA

Vikwangua anga vya mji wa Raleigh jimbo la North Carolina vinavyoonekana tokea mbali unapoelekea downtown. Raleigh ndio mji mkuu wa North Carolina wenye wakaazi 405,000. Raleigh ni mji wa pili kwa ukubwa wa kwanza ukiwa Charlotte.. Miji hii hujulikana kama The Triangle inayojumisha miji ya Durham na Chapel Hill yenye jumla ya wakaazi 1.1 milioni.Vingwangua anga downtown Raleigh, NC.Mitaani jiji la Raleigh, NC

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani