Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIKWANGUA ANGA MJI WA RALEIGH, NORTH CAROLINA

Vikwangua anga vya mji wa Raleigh jimbo la North Carolina vinavyoonekana tokea mbali unapoelekea downtown. Raleigh ndio mji mkuu wa North Carolina wenye wakaazi 405,000. Raleigh ni mji wa pili kwa ukubwa wa kwanza ukiwa Charlotte.. Miji hii hujulikana kama The Triangle inayojumisha miji ya Durham na Chapel Hill yenye jumla ya wakaazi 1.1 milioni.Vingwangua anga downtown Raleigh, NC.Mitaani jiji la Raleigh, NC

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VIKWANGUA ANGA MJI WA ALBANY, NEW YORK

Vikwangua anga ndani ya mji wa Albany ambao ndio makao makuu ya serikali ya jimbo la New York.Mtaa wa Pearl uliopo downtown Albany, New York.

 

10 years ago

Vijimambo

PATA VIKWANGUA ANGA MJI WA NEW ORLEANS,LOUISIANA

Vikwangua anga mji Downtown New Orleans jimbo la Louisiana nchini MarekaniKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

PATA TASWIRA YA VIKWANGUA ANGA MJI WA MIAMI, FLORIDA NCHINI MAREKANOI


 Mji wa Miami unavyoonekana muda huu jua linawaka kweli kweli ikiwa saa hizi ni nyuzi joto 79F Jiji la Miami linavyoonekana katika picha Vikwangua aanga vya Miami.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

11 years ago

GPL

TASWIRA YA VIKWANGUA ANGA JIJINI DAR

Ghorofa likiwa katika ujenzi maeneo ya Namanga-Dar.
Eneo  la Victoria.
Barabara…

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

PATA VIKWANGUA ANGA JIJI LA HOUSTON, TEXAS

Vikwangua anga kama vinavyoonekana jiji la Houston jimbo la Texas moja ya miji mikubwa wanayoishi Wabongo wengi.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

11 years ago

Vijimambo

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.

 

11 years ago

Vijimambo

ARUBAINI YA MAREHEMU CHARLES NEWA NORTH CAROLINA

 Familia ya Liban na Magayo Newa watakuwa na arubaini ya                                                     Baba yao Mzazi Charles Newa.  Adress ni:   100 Northcreek Drive                      Durham, NC Tarehe;   October 12, 2014 ( Sunday) Kuanzia saa 9 jioni.    Karibuni wote mnakaribishwa. Liban       919 491 2341Magayo   919 791...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani