Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARUBAINI YA MAREHEMU CHARLES NEWA NORTH CAROLINA

 Familia ya Liban na Magayo Newa watakuwa na arubaini ya                                                     Baba yao Mzazi Charles Newa.  Adress ni:   100 Northcreek Drive                      Durham, NC Tarehe;   October 12, 2014 ( Sunday) Kuanzia saa 9 jioni.    Karibuni wote mnakaribishwa. Liban       919 491 2341Magayo   919 791...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Misa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa

MISA YA Shukurani Kutimiza siku Arubaini (40) ya MAREHEMU Mzee Samuel Mtabala LUANGISA- New York
Saturday August 8, 2015.

Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya Shukurani au Arubaini ya Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala Luangisa (83),

Siku: Saturday August 8th, 2015
Saa: 4pm
Address: Luangisa Residence: 374 Hawthorne Terrace, Mt. Vernon, NY 10552
Misa itaongozwa na Mchungaji Mama Butiku
Mpe taarifa mwenzako...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ARUBAINI YA MAREHEMU ABASS KHALFAN MANG'ULA

Kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee Abass Khalfan Mag'ula iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 Springfield, Massachusetts nchini Marekani.Wapili toka kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee...

 

10 years ago

Vijimambo

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA

Umoja wa Watanzania North Carolina unatoa shukrani kwa wanajumuiya waliofanikisha UTNC Valentine’s day A Tribute to Love Fundraising Dinner. Tunashukuru wote walioweza kuja na walioshindwa kuja kutokana na sababu mbalimbali.
(Photos by Lucas Mmanywa)Mwenyekiti Anna akifuatilia eventShabani akimpa mkewe zawadi kubwa siku ya valentine 2015Eliud na Mama mwenye nyumba wakeDr. Joshua na wife wake waki celebrateMariam na Husband waki enjoy dancePicha kwa hisani ya http://www.utnc.org/blogKwa picha...

 

10 years ago

Vijimambo

VIKWANGUA ANGA MJI WA RALEIGH, NORTH CAROLINA

Vikwangua anga vya mji wa Raleigh jimbo la North Carolina vinavyoonekana tokea mbali unapoelekea downtown. Raleigh ndio mji mkuu wa North Carolina wenye wakaazi 405,000. Raleigh ni mji wa pili kwa ukubwa wa kwanza ukiwa Charlotte.. Miji hii hujulikana kama The Triangle inayojumisha miji ya Durham na Chapel Hill yenye jumla ya wakaazi 1.1 milioni.Vingwangua anga downtown Raleigh, NC.Mitaani jiji la Raleigh, NC

 

10 years ago

Vijimambo

Welcome to DICOTA 2014 Convention in Durham North Carolina

A Welcome note from the DICOTA President,

 Dear All
Welcome to Durham: Getting Around the City
Arrival: If you’re arriving via RDU Airport, there are several options that will take you to the Millennium Durham Hotel.
1. The dedicated DICOTA Logistic Team will be at their airport. Contact Mr. Saburi Mtarazaki at 919 423 0657 or Mr. Tony Ntirugelegwa at 919 599 7459 and their team, they will give you a ride to the hotel (as part of your convention registration fee- you don’t need to pay for...

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA


 Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo...

 

10 years ago

Vijimambo

LIVEDICOTA 2014 CONVETION DURHAM NORTH CAROLINA

   

Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

GPL

DICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA‏

 Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani