VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA
Umoja wa Watanzania North Carolina unatoa shukrani kwa wanajumuiya waliofanikisha UTNC Valentine’s day A Tribute to Love Fundraising Dinner. Tunashukuru wote walioweza kuja na walioshindwa kuja kutokana na sababu mbalimbali.
(Photos by Lucas Mmanywa)Mwenyekiti Anna akifuatilia event
Shabani akimpa mkewe zawadi kubwa siku ya valentine 2015
Eliud na Mama mwenye nyumba wake
Dr. Joshua na wife wake waki celebrate
Mariam na Husband waki enjoy dancePicha kwa hisani ya http://www.utnc.org/blogKwa picha...
Vijimambo