PICHA ZINGINE ARUBAINI YA MAREHEMU ABASS KHALFAN MANG'ULA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UTvA0t_luXA/VdwnCRozs2I/AAAAAAAD4kU/9IjKpz6ctAY/s72-c/11a5a7f2775d7934fc26ad9f91f5d599.jpg)
Kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee Abass Khalfan Mag'ula iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 Springfield, Massachusetts nchini Marekani.
Wapili toka kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee...
Vijimambo