DEDA'S COUTURE-BY 3 FASHION WEEK WINSTON-SALEM NORTHCAROLINA YAFANA
Miss Teddy na Flora Wakiwa kwenye vivazi kwenye Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.
Kutoka kushoto ni Flora, Talkia na Teddy ambao ndio wamiliki wa Deda's Couture By-3
Walimbwende wa vivazi wakionyesha vivazi siku ya Deda's by 3 Fashion week iliyofanyika mji wa Winston Salem Jimbo la North Carolina.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Miss Teddy na Flora wakiwa na vivazi vyao mbele ya mashabiki.
Ukodak Moment.
Picha ya pamoja
Bi Zainab
Bibie Teddy
Vijimambo