UCHAGUZI WA VIONGOZI UMOJA WA WATANZANIA NORTH CAROLINA UTNC 2014, ANNA SIMTAJI MMANYWA NDIYE MWENYEKITI MPYA
Uchaguzi wa viongozi uliofanyika Jumamosi Novemba 1, 2014 na kuwachagua viongozi wapya wa jumuiya ya Watanzania North Carolina ambako aliyekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Geofrey Lipana alimaliza muda wake na kumkabidhi kiti Anna Simtaji Mmanywa ambaye atasaidiana na viongozi wenzake waliochaguliwa. Katika uchaguzi huo, kura zilipigwa kwa wazi na kuandika historia mpya kwenye jimbo hilo la North Carolina.
Mbali na Anna Simtaji Mmanywa viongozi wengine waliochaguliwa ni Katibu ni Mshobozi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina Jan 17, 2015
![IMG_6126](http://i0.wp.com/www.utnc.org/blog/wp-content/uploads/2015/01/IMG_6126.jpg?resize=580%2C387)
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA REV. EDWARD MMANYWA WINSTON SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboDICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA
Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo...
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Welcome to DICOTA 2014 Convention in Durham North Carolina
Dear All
Welcome to Durham: Getting Around the City
Arrival: If you’re arriving via RDU Airport, there are several options that will take you to the Millennium Durham Hotel.
1. The dedicated DICOTA Logistic Team will be at their airport. Contact Mr. Saburi Mtarazaki at 919 423 0657 or Mr. Tony Ntirugelegwa at 919 599 7459 and their team, they will give you a ride to the hotel (as part of your convention registration fee- you don’t need to pay for...
10 years ago
Vijimambo03 Oct
10 years ago
GPLDICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA
11 years ago
Michuzi13 Apr
Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi 26.April 2014 Berlin
Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu wa chombo chao UTU ambao kinawaunganisha watanzania wote waishio ujerumani bila kujali...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04asG4Yx4OnAu2PoKC7x*OmzyrBB0yn5rymuOndh*PdNiW*H3w7o6WXb*0qUtAossRZ4r04EXcvbeRf0JUck7X2JC/LOGO_UTU.jpg?width=650)
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) KUFANYA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI APRILI 26, 2014 BERLIN
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mvGxljca6-k/U0q6xafy-ZI/AAAAAAAFagU/KloqIywStKU/s72-c/images+(1).jpg)
Umoja wa waTanzania Ujerumani (UTU) kufanya mkutato mkuu wa Uchaguzi .April 26, 2014 mjini Berlin
![](http://4.bp.blogspot.com/-mvGxljca6-k/U0q6xafy-ZI/AAAAAAAFagU/KloqIywStKU/s1600/images+(1).jpg)