Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina Jan 17, 2015

IMG_6126Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania North Carolina walikuwa na mkutano wa “Strategic Leadership Meeting” uliofanyika jumamosi January 17, 2015. Mkutano ulidhaminiwa na Mount Eagle University na ulifanyika Winston-Salem , (Pictures na Lucas Mmanywa) Kwa habari zaidi za Jumuiya ya Watanzania North Carolina Tembelea Tovuti yao utnc.org/blog

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UCHAGUZI WA VIONGOZI UMOJA WA WATANZANIA NORTH CAROLINA UTNC 2014, ANNA SIMTAJI MMANYWA NDIYE MWENYEKITI MPYA

Uchaguzi wa viongozi uliofanyika Jumamosi Novemba 1, 2014 na kuwachagua viongozi wapya wa jumuiya ya Watanzania North Carolina ambako aliyekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Geofrey Lipana alimaliza muda wake na kumkabidhi kiti Anna Simtaji Mmanywa ambaye atasaidiana na viongozi wenzake waliochaguliwa. Katika uchaguzi huo,  kura zilipigwa kwa wazi na kuandika historia mpya kwenye jimbo hilo la North Carolina. 
Mbali na Anna Simtaji Mmanywa viongozi wengine waliochaguliwa ni Katibu ni Mshobozi...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

10 years ago

Vijimambo

Salama za Eid Mubarak from North Carolina

Miss Temeke katika picha ya pamoja na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. iddi Sandaly walipokwenda kupata Sala ya Eid leo Jumamosi Oct 4, 2014 Durham, North Carolina ambapo wote wawili wanahudhuria DICOTA 2014 Convention inayofanyika katika hoteli ya Millennium mjini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

LIVEDICOTA 2014 CONVETION DURHAM NORTH CAROLINA

   

Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

Vijimambo

DICOTA 2014 CONVETION DURHAM, NORTH CAROLINA


 Wadau mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ya Millennium Durham tayari kwenye DICOTA 2014 utaonza rasmi Ijumaa Oct 3, 2014 kwenye mji wa Durham jimbo la North Carolina mkutano utamalizika siku ya Jumapili Oct 5, 2014 kwenye picha kushoto ni mpiga picha za kiwango na maarufu kutoka DMV Bi Iska Jojo na makamu wa rais DMV Bi, Harriet Shangarai wakielekea vyumbani baada ya kuwasili kwenye hotel ya Millennium muda si mrefu na kukutana na ukodak wa Vijimambo ambao utakuwepo kwenye mkutano huo...

 

10 years ago

Vijimambo

VIKWANGUA ANGA MJI WA RALEIGH, NORTH CAROLINA

Vikwangua anga vya mji wa Raleigh jimbo la North Carolina vinavyoonekana tokea mbali unapoelekea downtown. Raleigh ndio mji mkuu wa North Carolina wenye wakaazi 405,000. Raleigh ni mji wa pili kwa ukubwa wa kwanza ukiwa Charlotte.. Miji hii hujulikana kama The Triangle inayojumisha miji ya Durham na Chapel Hill yenye jumla ya wakaazi 1.1 milioni.Vingwangua anga downtown Raleigh, NC.Mitaani jiji la Raleigh, NC

 

10 years ago

Vijimambo

ARUBAINI YA MAREHEMU CHARLES NEWA NORTH CAROLINA

 Familia ya Liban na Magayo Newa watakuwa na arubaini ya                                                     Baba yao Mzazi Charles Newa.  Adress ni:   100 Northcreek Drive                      Durham, NC Tarehe;   October 12, 2014 ( Sunday) Kuanzia saa 9 jioni.    Karibuni wote mnakaribishwa. Liban       919 491 2341Magayo   919 791...

 

10 years ago

Vijimambo

VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA

Umoja wa Watanzania North Carolina unatoa shukrani kwa wanajumuiya waliofanikisha UTNC Valentine’s day A Tribute to Love Fundraising Dinner. Tunashukuru wote walioweza kuja na walioshindwa kuja kutokana na sababu mbalimbali.
(Photos by Lucas Mmanywa)Mwenyekiti Anna akifuatilia eventShabani akimpa mkewe zawadi kubwa siku ya valentine 2015Eliud na Mama mwenye nyumba wakeDr. Joshua na wife wake waki celebrateMariam na Husband waki enjoy dancePicha kwa hisani ya http://www.utnc.org/blogKwa picha...

 

10 years ago

Vijimambo

Welcome to DICOTA 2014 Convention in Durham North Carolina

A Welcome note from the DICOTA President,

 Dear All
Welcome to Durham: Getting Around the City
Arrival: If you’re arriving via RDU Airport, there are several options that will take you to the Millennium Durham Hotel.
1. The dedicated DICOTA Logistic Team will be at their airport. Contact Mr. Saburi Mtarazaki at 919 423 0657 or Mr. Tony Ntirugelegwa at 919 599 7459 and their team, they will give you a ride to the hotel (as part of your convention registration fee- you don’t need to pay for...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani