Lukuvi sasa awapanga Kigamboni kiuwekezaji
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza maofisa wake kuanza kuwapatia wakazi wa Kigamboni hati za umiliki wa viwanja ili ziwasaidie katika maandalizi ya uwekezaji wa mji mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kigamboni sasa kuendelezwa na wananchi wenyewe-Lukuvi
MJI mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam sasa utaendelezwa kwa sehemu kubwa na wakazi wa Kigamboni wenyewe, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeelezwa.
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya
Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...
10 years ago
TheCitizen30 Mar
Lukuvi now overturns Prof Tibaijuka’s decisions on Kigamboni new city
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Waziri Lukuvi azindua mpango kabambe wa mji mpya wa Kigamboni
Picha za Mji Mpya wa Kigamboni.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano – Mnadani Vijibweni.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji, Bibi Immaculata Senje akitoa taarifa fupi ya Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni wakati wa Uzinduzi wa Mpango huo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Kigamboni...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Daraja Kigamboni sasa kukamilika Julai mwakani
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Kongamano Kanda ya Ziwa kuleta neema kiuwekezaji
KILA nchi kwa njia zake huwa inajitahidi kuweka sera madhubuti ili kuhakikisha uwekezaji unafanyika na kuongeza pato la taifa na la mtu mmoja mmoja. Kutokana na kugundua hilo, Kituo cha...
11 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
11 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni