Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kongamano Kanda ya Ziwa kuleta neema kiuwekezaji

KILA nchi kwa njia zake huwa inajitahidi kuweka sera madhubuti ili kuhakikisha uwekezaji unafanyika na kuongeza pato la taifa na la mtu mmoja mmoja. Kutokana na kugundua hilo, Kituo cha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Matunda ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa yaanza kuonekana

Mara baada ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa, mwekezaji Mama Wang Shen Hong (ama Anna - kama anavyojulikana zaidi jijini Mwanza) aliomba kukutana na maofisa waandamizi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na kuzungumzia fursa lukuki zilizoainishwa kwenye Kongamano hilo. Pichani ni Mwekezaji huyo akiongea na Meneja wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka TIC Makao Makuu,Bwana John Mathew Mnali (kulia) akiwa na Meneja wa Kanda ya Ziwa,Bwana Fanuel Yona Lukwaro. 
Mwekezaji huyo amevutiwa zaidi...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAMALIZIKA LEO JIJINI MWANZA

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza akitoa hotuba yake wakati wa kufunga Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,lililomalizika leo kwenye hoteli ya Malaika,jijini Mwanza.Mh. Chiza amelifunga Kongamano hilo kwa niaba ya Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda ambaye hakuweza kuhudhulia kutokana na kubanwa na shughuli nyingi za Kitaifa.Kongamano hilo ambalo limefanyika kwa siku tatu mfululizo,liliweza kujadili mambo mengi kuhusiana na fursa ya kuwekeza katika Kanda hiyo ya Ziwa.

 

11 years ago

Michuzi

Maandalizi ya Kongamano la Uwekezaji katika Maeneo ya Kanda ya Ziwa yanaendelea

Maandalizi ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,linalotarajiwa kufunguliwa kesho na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Balal,katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,yanaendelea vyema kama ilivyopanga.Kongamano hilo ambalo ni la Nne Kitaifa,linaratibiwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) ambapo wawekezaji mbali mbali watakutana na kujadiliana maswala mmbali mbali yahusuyo Uwekezaji katika sekta mbali mbali hapa nchini. Sehemu ya Mahema...

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO KWA SIKU YA PILI JIJINI MWANZA

 Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama (liesimama) akitoa muongozo wa namna vikao vitakavyokuwa vinaendelea kufanyika katika kumbi mbali mbali ndani ya Hoteli ya Malaika,iliwa ni muendelezo wa Kongamano Uwekezaji Kanda ya Ziwa,unaoendelea kufanyika leo kwenye Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.Wengine pichani toka kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye ndie Mwenyeji wa Kongamano hilo,Mh. Everist...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO

 Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.  Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.  Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA JIONI YA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA KESHO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo,tayari kwa ufunguzi Kongamano la uwekezaji kwa Kanda ya Ziwa,linaotarajiwa kuanza kesho kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya...

 

11 years ago

Habarileo

Bilionea Dangote kuleta neema Tanzania

Mfanyabishara maarufu wa Nigeria, Aliko Dangote akizungumza na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya TSN, Gabriel Nderumaki (wapili kulia), Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications, Joseph Kulangwa (wapili kushoto) na Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Nurdin Abdallah Mangochi (kulia) jijini Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).KAMPUNI ya Dangote Group inayomilikiwa na bilionea kutoka Nigeria, imetangaza neema itakayotokana na uwekezaji wa kiwanda cha saruji unaofanyika mkoani Mtwara, miongoni mwake ikiwa ni kupungua kwa bei ya saruji uzalishaji utakapoanza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nguzo za zege kuleta neema ya umeme

UPATIKANAJI wa umeme nchini umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu hali inayorudisha nyuma maendeleo. Tatizo hilo la upatikanaji wa umeme linatokana na miundombinu duni toka uhuru wa Tanzania Bara hadi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua zatarajiwa kuleta neema ya mavuno kwa nchi za Afrika Mashariki

Uzalishaji wa chakula Ukanda wa Nchi za Afrika Mashariki, unatarajiwa kuongezeka msimu wa kilimo wa 2014/2015, hivyo kupunguza soko la mazao ya chakula yanayozalishwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani