Bilionea Dangote kuleta neema Tanzania
KAMPUNI ya Dangote Group inayomilikiwa na bilionea kutoka Nigeria, imetangaza neema itakayotokana na uwekezaji wa kiwanda cha saruji unaofanyika mkoani Mtwara, miongoni mwake ikiwa ni kupungua kwa bei ya saruji uzalishaji utakapoanza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE AKAGUA UFUKWE ATAKAOJENGA BANDARI YAKE YA KISASA MTWARA
10 years ago
Bongo505 May
Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote bado anataka kuinunua timu ya Arsenal!
10 years ago
CloudsFM27 Nov
BILIONEA DANGOTE AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo.
Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege...
10 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE AKAGUA TENA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
Bilionea Dangote akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake cha Saruji Mtwara
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia (TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha simenti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini maofisa...
10 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE ALIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA
10 years ago
VijimamboBILIONEA DANGOTE ALIRIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA KUSHIRIKIANA NA TPA
9 years ago
MichuziBILIONEA DANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWAR
9 years ago
GPLBILIONEA DANGOTE AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA