Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni

lukuviNa Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni

lukuviiiiNa Jonas Mushi, Dar es Salaam

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.

Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya

Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi azindua mpango kabambe wa mji mpya wa Kigamboni

11

Picha za Mji Mpya wa Kigamboni.

1

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano – Mnadani Vijibweni.

2

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mipango Miji, Bibi Immaculata Senje akitoa taarifa fupi ya Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni wakati wa Uzinduzi wa Mpango huo.

4

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bibi Sophia Mjema akizungumza na wananchi wa Kigamboni...

 

11 years ago

Michuzi

SIKILIZA WAWAKILISHI WA WANANCHI WAKIONGELEA KUHUSIANA NA SAKATA LA UJENZI WA MJI MPYA KIGAMBONI.

 Mchungaji Boniface Frank Mwenegoha akizungumza kuhusiana na sakata la ujenzi wa mji mpya Kigamboni
Mwenyekiti wa Kamati ya Wananchi inayowakilisha malalamiko yao kuhusiana na ujenzi mpya wa mji wa Kigamboni,Bwa.Kassim Abdallah.

 

10 years ago

Habarileo

Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviHATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.

 

11 years ago

Michuzi

JK atembelea banda la NSSF, avutiwa na mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Dege Eco Village, kigamboni

 Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje. Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau wakati alipotembelea banda la NSSF. Kutoka kushoto ni Abeid, Zhulkifir na Thamrat Dau. Rais Jakaya Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Julius Nyamuhokya kuhusu mradi mkubwa wa ujenzi wa  mji wa kisasa...

 

11 years ago

Habarileo

CCM kujadili sakata la Mji Mpya Kigamboni

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wakazi wa Kigamboni, atawasilisha malalamiko yao dhidi ya mradi wa ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni katika vikao ya juu vya chama hicho ili hatua za haraka zichukuliwe.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AAHIDI KUFIKISHA MGOGORO WA UJENZI MJI WA KISASA KIGAMBONI KATIOKA VIKAO VYA NGAZI ZA JUU CCM

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana, Machi 26, mwaka huu, katika eneo la Kigamboni, wilayani Temeke akiwa katika ziara yake mkoani Dar es Salaam, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama. 

   Akizungumza na wananchi wa Kigamboni, Ndugu Kinana ameahidi kulichukua suala linaloonekana kuzua mgogoro mkubwa baina ya wananchi na serikali la ujenzi wa mji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani