KINANA AAHIDI KUFIKISHA MGOGORO WA UJENZI MJI WA KISASA KIGAMBONI KATIOKA VIKAO VYA NGAZI ZA JUU CCM
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana, Machi 26, mwaka huu, katika eneo la Kigamboni, wilayani Temeke akiwa katika ziara yake mkoani Dar es Salaam, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama.
Akizungumza na wananchi wa Kigamboni, Ndugu Kinana ameahidi kulichukua suala linaloonekana kuzua mgogoro mkubwa baina ya wananchi na serikali la ujenzi wa mji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi27 Mar
11 years ago
GPL27 Mar
11 years ago
MichuziJK atembelea banda la NSSF, avutiwa na mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Dege Eco Village, kigamboni
![](http://1.bp.blogspot.com/-FGsjHwhXPlI/U7gU2csaO7I/AAAAAAABB0o/D2Q_mIWiBGg/s1600/5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QezxRVwjQ3g/U7gbDiT4YVI/AAAAAAABB1w/oCXX6duyybI/s1600/6.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dr9d-ypKGN4/U7gWD5BXtzI/AAAAAAABB1A/XV88d0eHfXc/s1600/1.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Jun
Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha
HATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya
Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...
11 years ago
Michuzi29 Mar
SIKILIZA WAWAKILISHI WA WANANCHI WAKIONGELEA KUHUSIANA NA SAKATA LA UJENZI WA MJI MPYA KIGAMBONI.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wananchi inayowakilisha malalamiko yao kuhusiana na ujenzi mpya wa mji wa Kigamboni,Bwa.Kassim Abdallah.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_69WFUiNhVk/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Magufuli aahidi ujenzi wa madaraja, barabara za juu