Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tembo 7,500 kati ya 12,000 waliotoweka warejea  katika  hifadhi  ya Ruaha-Rungwa

Tembo 7,500 kati ya 12,000 walioripotiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwenye uwanda wa eneo la uhifadhi Ruaha-Rungwa Nyanda za Juu Kusini wamerejea tena kwenye eneo hilo.

Kurudi kwa wanyama hao waliodaiwa kupotea kwa wingi kutoka eneo hilo, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kumebainika katika matokeo ya sensa mpya ya wanyamapori iliyofanyika Ruaha-Rungwa wiki chache zilizopita.

Matokeo ya sensa mpya ya Septemba-Novemba mwaka huu yametangazwa rasmi jijini hapa na Katibu Mkuu wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA 500,000 WANATARAJIWA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA

Mahmoud Ahmad ArushaWATANZANIA 500,000 wanatarajiwa kutembelea mbuga zote 16 za hifadhi za taifa mwaka huu ikiwa ni hatua ya kuimarisha na kukuza utalii wa ndani ambapo watajionea vivutio mbalimbali vilivyomo ndani ya hifadhi hizo.
Hayo yameelezwa leo na Meneja uhusiano wa shirika la hifadhi za taifa, Tanapa, (Pichani)Pascol Shelutete, makao makuu ya TANAPA, jijini ,Arusha,  alipokuwa akizindua hatua ya mwisho ya  kampeni  maalumu ya miezi sita ya  kuhamasisha Watanzania kutembelea...

 

5 years ago

AnandTech

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19

Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19  AnandTechView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuhusu eneo la hifadhi  lililoombwa kwa ajili ya upanuzi wa manispaa ya Iringa wakati wa ziara ya waziri wa maliasili na utalii mkoani Iringa leo. (Picha zote na Loveness Bernard)Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu  akifafanua jambo katika mkutano wa kutatua mgogoro kati ya wawekezaji na wananchi wanaozunguka hifadhi ya Ruaha (mbomipa). Katikati...

 

9 years ago

Mwananchi

Tembo Ruaha kufuatiliwa na kifaa maalumu

Katika harakati za kupambana na ujangili wa tembo, Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa) kwa kushirikikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limefunga vifaa maalumu kwa ajili ya kufuatilia mienendo ya wanyama hao kwenye mfumo wa ikolojia ya Hifadhi ya Ruaha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujangili wapungua Hifadhi ya Ruaha

UJANGILI katika Hifadhi ya Taifa Ruaha umepungua kutokana na operesheni mbalimbali zilizofanyika katika hifadhi hiyo. Mhifadhi Mkuu wa Ruaha, Dk. Chris Timbuka, aliwaambia waandishi wa habari waliotembelea hifadhi hiyo jana...

 

9 years ago

Michuzi

ULINZI WA TEMBO KWA KUTUMIA SATELAITI WAANZA RUAHA

Shirika la Hifadhi za Taifa limezindua program maalum ambapo tembo 30 wanaoongoza makundi 30 katika mfumo wa Ikolojia wa Ruaha Rungwa watavalishwa kola malum shingoni zenye vifaa vinavyorekodi mienendo yao kwa kutumia satelaiti. Program hii inafadhiliwa kwa pamoja na taasisi za Global Environment Facility pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP).
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa program hiyo hivi karibuni, Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi alisema kuwa “ Lengo kuu la...

 

9 years ago

StarTV

Mbwa maalum wapelekwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kukabiliana na Ujangili

Vita ya kupambana na ujangili katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha na mikoa ya Kusini kwa jumla inaendelea kushika kasi ya aina yake baada ya Mbwa maalum wenye uwezo wa kunusa na kufuatilia nyendo za majangili kuletwa hifadhini hapo.

Kwa kuanzia, Mbwa wawili wameletwa na Hifadhi hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Wanyamapori la WCS linalotekeleza mradi wa hifadhi za wanyamapori katika hifadhi za Ruaha na Katavi.

Katika moja ya sehemu ya mabanda ya kulala wageni katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha,...

 

10 years ago

TheCitizen

4,000 jumbos gunned down in Ruaha

Fresh alarming rate of poaching has emerged after a new report established that over 4000 elephants have been killed in just one year in the Ruaha National Park alone.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani