Mbwa maalum wapelekwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kukabiliana na Ujangili
Vita ya kupambana na ujangili katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha na mikoa ya Kusini kwa jumla inaendelea kushika kasi ya aina yake baada ya Mbwa maalum wenye uwezo wa kunusa na kufuatilia nyendo za majangili kuletwa hifadhini hapo.
Kwa kuanzia, Mbwa wawili wameletwa na Hifadhi hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Wanyamapori la WCS linalotekeleza mradi wa hifadhi za wanyamapori katika hifadhi za Ruaha na Katavi.
Katika moja ya sehemu ya mabanda ya kulala wageni katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha,...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Ujangili wapungua Hifadhi ya Ruaha
UJANGILI katika Hifadhi ya Taifa Ruaha umepungua kutokana na operesheni mbalimbali zilizofanyika katika hifadhi hiyo. Mhifadhi Mkuu wa Ruaha, Dk. Chris Timbuka, aliwaambia waandishi wa habari waliotembelea hifadhi hiyo jana...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DNdssgOfNFE/VCJ3KgmkbQI/AAAAAAAGlb0/E1PpqB39weU/s72-c/MMGN9097.jpg)
Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini
![](http://2.bp.blogspot.com/-DNdssgOfNFE/VCJ3KgmkbQI/AAAAAAAGlb0/E1PpqB39weU/s1600/MMGN9097.jpg)
9 years ago
StarTV04 Dec
Tembo 7,500 kati ya 12,000 waliotoweka warejea katika  hifadhi  ya Ruaha-Rungwa
Tembo 7,500 kati ya 12,000 walioripotiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha kwenye uwanda wa eneo la uhifadhi Ruaha-Rungwa Nyanda za Juu Kusini wamerejea tena kwenye eneo hilo.
Kurudi kwa wanyama hao waliodaiwa kupotea kwa wingi kutoka eneo hilo, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kumebainika katika matokeo ya sensa mpya ya wanyamapori iliyofanyika Ruaha-Rungwa wiki chache zilizopita.
Matokeo ya sensa mpya ya Septemba-Novemba mwaka huu yametangazwa rasmi jijini hapa na Katibu Mkuu wa...
11 years ago
Michuzi12 May
MKUU WA UNDP DUNIANI HELEN CLARK ATEMBELEA HIFADHI YA RUAHA,APONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA SPANEST
Kwa...
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI
5 years ago
BBCSwahili23 May
Mbwa anayesaidia katika kukabiliana na virusi vya corona
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
MWILI WA ADAM KUAMBIANA WATOLEWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, WAPELEKWA BUNJU B
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Nyalandu ataweza kukabiliana na ujangili?
HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alikimbilia katika jumuiya ya kimataifa kujisafisha kuhusiana na masuala ya ujangili yaliyokithiri nchini. Hiyo ni baada ya taarifa kwamba Tanzania haijachukua hatua za kutosha kupambana...
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
TBL yatoa milioni 10 kukabiliana na ujangili
KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Ndovu imetoa shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kuwalinda Tembo, wanyama ambao wanazidi kutoweka kutokana na kuuliwa...