Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu ataweza kukabiliana na ujangili?

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alikimbilia katika jumuiya ya kimataifa kujisafisha kuhusiana na masuala ya ujangili yaliyokithiri nchini. Hiyo ni baada ya taarifa kwamba Tanzania haijachukua hatua za kutosha kupambana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokea vifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leoMaelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson KibongeWaziri...

 

9 years ago

Dewji Blog

Je Waziri wa Maliasili na Utalii ataweza kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta?

Untitled

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Siku chache zilizopita baada ya Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa kutangazwa, Tanzania tunatarajia Dk John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatangaza rasmi baraza lake la Mawaziri.  Kila sekta itakuwa imeshikiliwa na Mawaziri ambao Rais ameridhishwa nao katika kukidhi viwango vya kuendesha sekta hizo na katika kurudisha matumaini ya watanzania.

Kati ya Wizara muhimu zinazokuza uchumi wa nchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yatoa milioni 10 kukabiliana na ujangili

KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Ndovu imetoa shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kuwalinda Tembo, wanyama ambao wanazidi kutoweka kutokana na kuuliwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Wafanyakazi pambaneni na ujangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha wanatumia kila mwanya uliopo kisheria kufanikisha mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili. Alitoa kauli hiyo mjini Morogoro...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Tutaanika wafadhili ujangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa serikali itawataja hadharani wanaofadhili ujangili bila kujali nyadhifa zao. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mkoani hapa, alipokuwa akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

JK APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI LEO


Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za Serengeti, Selous na Maswa. Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika...

 

11 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka motisha vita ya ujangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amelitaka Baraza kuu la Wafanyakazi la Wizara, kuandaa utaratibu wa kutoa motisha kwa kila mfanyakazi kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Mkubwa Sasa (BRN), katika kupambana na vita dhidi ya ujangili na kuongeza mapato yatokanayo na utalii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya

WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu- Naandamwa kwa sababu ya ujangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa hivi karibuni kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana mkoani Iringa na kudai kuwa anaandamwa kutokana na vita anayoiongoza dhidi ya ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani