Nyalandu- Naandamwa kwa sababu ya ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa hivi karibuni kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana mkoani Iringa na kudai kuwa anaandamwa kutokana na vita anayoiongoza dhidi ya ujangili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 Nov
WAZIRI NYALANDU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUSU KUKEMEA UJANGILI NCHINI.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/nyalandu-jan23-2014.jpg)
Na Anitha Jonas – Maelezo.03 Novemba, 2014.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa Viongozi wa dini wote nchini kupaza sauti kwa pamoja kukemea vitendo vya Ujangili pamoja na Uharibifu wa mazingira nchini.
Wito huo ameutoa leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa viongozi wa dini unaolenga kuwaelimisha viongozi hao kutoa elimu kwa waumini wao juu ya kupinga suala la ujangili na kuwasihi juu ya...
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Blog ya Vijimambo yakabidhi mchango wake wa kusaidia kupambana na ujangili kwa Mhe. Lazaro Nyalandu
Baraka Daudi, Mwenyekiti wa Tamasha la Utalii na kukemea ujangili lililoadhimisha miaka 4 ya Blog ya Vijimambo akimkabidhi pesa tasilimu $1,000 kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu kwa ajili ya kupambana na ujangili makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatatu Sept 15, 2014.
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/t31.0-8/1270840_10152390941687479_778937543945959590_o.jpg)
Mhe. Lazaro Nyalandu, Balozi Leberata Mulamula Afisa Ubalozi Suleiman Saleh (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Vijimambo...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Nyalandu: Tutaanika wafadhili ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kuanzia sasa serikali itawataja hadharani wanaofadhili ujangili bila kujali nyadhifa zao. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mkoani hapa, alipokuwa akizungumza na...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Nyalandu ataweza kukabiliana na ujangili?
HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alikimbilia katika jumuiya ya kimataifa kujisafisha kuhusiana na masuala ya ujangili yaliyokithiri nchini. Hiyo ni baada ya taarifa kwamba Tanzania haijachukua hatua za kutosha kupambana...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Nyalandu: Wafanyakazi pambaneni na ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha wanatumia kila mwanya uliopo kisheria kufanikisha mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili. Alitoa kauli hiyo mjini Morogoro...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Nyalandu ajikana vita vya ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameikana kauli yake ya Februari 27 mwaka huu, kwamba Serikali ina zaidi ya majina 320 ya majangili na kwamba wangeyaweka hadharani muda wowote,...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Nyalandu: Ujangili nchini hali mbaya
WAKATI juhudi zikifanyika kupambana na ujangili nchini, Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema hali ni mbaya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa...
11 years ago
Habarileo05 Apr
Nyalandu ataka motisha vita ya ujangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amelitaka Baraza kuu la Wafanyakazi la Wizara, kuandaa utaratibu wa kutoa motisha kwa kila mfanyakazi kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Mkubwa Sasa (BRN), katika kupambana na vita dhidi ya ujangili na kuongeza mapato yatokanayo na utalii.
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Nyalandu: Vita ya ujangili kikwazo wasio wazalendo
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazalo Nyalandu, amesema mali nyingi hapa nchini zinaangamia kutokana na watu wachache waliopewa dhamana ya kuzisimia kutanguliza mbele maslahi yao badala ya uzalendo. Nyalandu, alisema...