Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI LEO


Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za Serengeti, Selous na Maswa. Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA KUTOKA AFRICAB


Na Said Mwishehe ,Michuzi TV

KATIKA kuendelea kukabiliana na virusi vya Corona nchini, SerikaIi kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imepokea msaada wa matanki 100 kutoka kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya umeme ya AFRICAB maalumu kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi na wanavyuo jijini Dar es Salaam kunawa mikono ili kukabiliana na janga la homa mapato inayosababishwa na virusi vya Corona.

Akipokea na kisha kukabidhi matanki hayo yenye thamani ya Sh. Milioni 50, Waziri wa Elimu...

 

10 years ago

GPL

MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leo… ...

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI WAIPA TANZANIA VIFAA VYA KISASA KUKABILIANA NA UJANGILI MBUGA YA SELOUS LEO

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokea vifaa vya kukabiliana na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili ya Mbuga ya Selous leoMaelezo kuhusu masalia hayo ya injini hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani Benson KibongeWaziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu ataweza kukabiliana na ujangili?

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alikimbilia katika jumuiya ya kimataifa kujisafisha kuhusiana na masuala ya ujangili yaliyokithiri nchini. Hiyo ni baada ya taarifa kwamba Tanzania haijachukua hatua za kutosha kupambana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TBL yatoa milioni 10 kukabiliana na ujangili

KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Ndovu imetoa shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kuwalinda Tembo, wanyama ambao wanazidi kutoweka kutokana na kuuliwa...

 

9 years ago

StarTV

Mbwa maalum wapelekwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kukabiliana na Ujangili

Vita ya kupambana na ujangili katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha na mikoa ya Kusini kwa jumla inaendelea kushika kasi ya aina yake baada ya Mbwa maalum wenye uwezo wa kunusa na kufuatilia nyendo za majangili kuletwa hifadhini hapo.

Kwa kuanzia, Mbwa wawili wameletwa na Hifadhi hiyo kwa kushirikiana na Shirika la Wanyamapori la WCS linalotekeleza mradi wa hifadhi za wanyamapori katika hifadhi za Ruaha na Katavi.

Katika moja ya sehemu ya mabanda ya kulala wageni katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha,...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA SH. BILIONI 1.185 KUKABILIANA NA COVID-19

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakikagua jenereta lilitolewa na familia ya Karimjee Jivanji ya jijini Dar es salam lenye thamani ya sh. milioni 75 wakati alipopokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Azan Zungu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA BILIONI 1.1 KUKABILIANA NA CORONA COVID-19

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipima joto la mwili wakati alipowasili ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kupokea michango kutoka kwa wadau mbalimbali kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa CORONA, Machi 28, 2020.
Baadhi wa wadau waliotoa michango ni pamoja na familia ya Karimjee Jivanji ya jijini Dar es Salam iliyotoa jenereta lenye thamani ya shilingi milioni 75, Benki ya UBA waliotoa hundi ya shilingi milioni 230.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani