Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA HUDUMA YA MAXMALIPO KWA KUTUMIA SIMU YA KIGANJANI

Mkuu wa kitengo cha Biashara Maxcom Africa, Bw. Deogratius Lazari (katikati) akifafanuajJambo kwa waandishi wa habari (hawapo picha) wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa kutoa huduma za Maxmalipo kwa kutumia simu ya kiganjani, wengine katika picha ni  maoifisa wa Kampuni hiyo, kulia ni msimamizi wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Mashariki Bw. Thomas Mwakalembile na Geofrey Mwakamyanda.   Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Huduma Mpya ya MaxMalipo kwa kutumia Simu ya Kiganjani.

Mkuu wa kitengo cha Biashara Maxcom Africa Bw. Deogratius Lazari (Katikati) Akifafanua Jambo kwa waandishi wa habari ambao hawapo katika picha wakati wa Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutoa huduma za Maxmalipo kwa kutumia simu ya kiganjani, wengine katika picha ni  Maasifisa wa Kampuni Kulia msimamizi mauzo na Usambazaji kanda ya mashariki Bwan Bw. Thomas Mwakalembile na Geofrey Mwakamyanda
Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2010 ambayo imewekeza...

 

10 years ago

Michuzi

NMB waanza kutoa huduma kupitia MaxMalipo kwa Mafanikio

BENKI ya NMB imeanza kutoa huduma zake kupitia mawakala wa MaxMalipo kwa mafanikio katika hatua ya majaribio inayoendelea Kigamboni – Dar es Salaam, Dodoma na Arusha.
Huduma hiyo inayojulikana kama NMB Wakala itakuwa inapatikana kwenye maduka ya kawaida yenye huduma za MaxMalipo, inategemewa kusogeza huduma za benki hiyo mpaka vijijini na kuwa benki ya kwanza kuweza kupenya maeneo ya vijijini.
Kwa ajili ya kuhakikisha huduma hii inawafikia wengi, NMB inafanya matangazo katika eneo la kigamboni...

 

11 years ago

Habarileo

Waanza kutumia MaxMalipo kulipia ankara za maji

WAKAZI wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake wameanza kutumia mashine za Maxmalipo kulipa bili zao za maji. Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Maxcom Africa, Athanas Leonce alisema mashine hizo zinaendelea kusambazwa kwa mawakala wao katika maeneo mbalimbali mjini Iringa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali kuyabana zaidi makampuni ya simu nchini, kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015!!

DSC_0072

Ofisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prisca Ulomi, akizungumza na waandishi wa habari. (Picha na Maktaba)

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[TANZANIA] Kasi ya serikali ya awamu ya tano inaonekana kuwa kubwa kwa kuanza kuyabana makampuni ya simu kwa huduma wanazotoa kwa watumiaji wa mitandao hiyo kwa kutumia kanuni mpya za huduma za ziada za mwaka 2015 za sheria ya mawasiliano ya kieletroniki na Posta ya mwaka 2010.

Akizungumzia kanuni hiyo, Msemaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA MAXMALIPO SASA KUTOA HUDUMA ZA BENKI YA CRDB

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akibadilishana hati ya mkataba wa makubaliano na Mkurugenzi wa Maxcom Africa, Juma Rajabu baada ya uzinduzi wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’ kupitia vituo vya Maximalipo. Hafla imefanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei na Mkurugenzi wa Maxcom Africa, Juma Rajabu wakisaini hati ya mkataba wa makubaliano wa huduma za ‘FahariHuduma wakala’ kupitia vituo vya...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAZINDUA HUDUMA YA WANACHAMA WAKE KUWASILISHA MICHANGO KUPITIA MAXMALIPO

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Vvijana na Michezo, Juma Nkamia, (wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa Maxcom Africa, Juma Rajabu, wakizindua huduma mpya ya wanachama wa Mfuko huo, kuwasilisha michango yao kupitia Maxmalipo. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ofisi za makao makuu wa PSPF, Golden Jubilee, katikati ya jiji leo Alhamisi Aprili 16, 2015. Kulia ni Mkurugenzi Mtendajiwa Glob al Publisher, Erick...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani