Bil. 1.8 zajenga miundombinu ya maji
SERIKALI imetumia sh. bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Kibirizi wilayani Bukoba.
Fedha hizo zimetumika kuchimba mitaro saba yenye urefu wa kilometa 84 na magati 110, tanki za kuhifadhia huku kazi iliyobaki kwa sasa ni kulaza mabomba na kujenga magati 15.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri, alisema bungeni jana kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa kijiji hicho wanapata maji safi na salama.
Alikuwa akijibu swali la...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GO3kWBAoLmA/U331IVh4O8I/AAAAAAAFkds/QwC9hKd8MjM/s72-c/MAJI+1.jpg)
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI, YAZINDUA MWONGOZO WA UTENDAJI KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-GO3kWBAoLmA/U331IVh4O8I/AAAAAAAFkds/QwC9hKd8MjM/s1600/MAJI+1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WC6XwrZelSA/U331G3bkx9I/AAAAAAAFkdY/MC3Z_ucX-6M/s1600/MAJI+-2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Bil. 5/- kukarabati miundombinu Ilala
ZAIDI ya sh bilioni tano zinahitajika kukarabati miundombinu mbalimbali katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Ofisa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Bil. 78/- kuboresha miundombinu Chalinze
SERIKALI inatarajia kutumia sh bilioni 78.4 kuboresha miundombinu ya maji katika mji wa Chalinze na vitongoji vyake kupitia mradi wa maji Wami-Chalinze. Hayo yalibainishwa na Meneja wa Mamlaka ya Maji...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
ITA yahitaji bil. 67/- upanuzi miundombinu
CHUO cha Kodi (ITA) kinahitaji zaidi ya sh bilioni 67 kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu ili kuendana na kasi ya wanafunzi wanaohitaji mafunzo hayo. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar...
11 years ago
Mwananchi31 Dec
‘Miundombinu ya maji imechakaa’
10 years ago
VijimamboMWANRI: ZUIENI UBADHIRIFU WA MIUNDOMBINU YA MAJI
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa program ya maji...
10 years ago
MichuziSIMAMIENI IPASAVYO MIUNDOMBINU YA MAJI: MH. MWANRI
Serikali imetoa wito kwa taasisi za umma kusimamia kwa umakini miundombinu ya miradi ya maji pindi inapokamilika ili kuweza kuwapatia wananchi huduma ya maji ya uhakika mara miradi hiyo inapokabidhiwa kwa kamati za usimamizi wa maji.
Wito huo umetolewa na kiongozi wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati timu hiyo ilipokuwa ikifanya ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu ya maji ya utekelezaji wa...
10 years ago
Habarileo17 May
Miundombinu ya kutibu maji bado tatizo
SERIKALI imesema hali ya ubora wa maji si nzuri kwa sababu sio sehemu zote zina miundombinu ya kutibu maji.
10 years ago
MichuziMh. Makalla akagua miundombinu ya maji jijini Mbeya
Mh. Makalla amevutiwa sana na utendaji kazi wa Mamlaka hiyo na kuupongeza kwa kuongeza idadi kuwa wateja wa maji kutoka 9000 mwaka 2002 na kufikia 40,000 hivi sasa na pia kuwa mamlaka ya tatu kitaifa kuwa na miundombinu ya majitaka.
Mh. Makalla ameiagiza Mamlaka hiyo kuhakikisha inadhibiti upotevu wa maji kutoka...