Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bil. 78/- kuboresha miundombinu Chalinze

SERIKALI inatarajia kutumia sh bilioni 78.4 kuboresha miundombinu ya maji katika mji wa Chalinze na vitongoji vyake kupitia mradi wa maji Wami-Chalinze. Hayo yalibainishwa na Meneja wa Mamlaka ya Maji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 5/- kukarabati miundombinu Ilala

ZAIDI ya sh bilioni tano zinahitajika kukarabati miundombinu mbalimbali katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Ofisa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Bil. 1.8 zajenga miundombinu ya maji


SERIKALI imetumia sh. bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Kibirizi wilayani Bukoba.
Fedha hizo zimetumika kuchimba mitaro saba yenye urefu wa kilometa 84 na magati 110, tanki za kuhifadhia huku kazi iliyobaki kwa sasa ni kulaza mabomba na kujenga magati 15.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Agrey Mwanri, alisema bungeni jana kuwa hatua hiyo inalenga kuhakikisha wakazi wa kijiji hicho wanapata maji safi na salama.
Alikuwa akijibu swali la...

 

9 years ago

StarTV

TANESCO yatakiwa kuboresha miundombinu

Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo amesema ni vigumu shirika la umeme nchini TANESCO kuondokana na madeni kama litashindwa kuboresha mikataba linayoingia na wawekezaji katika uboreshaji wa miundombinu ya Shirika hilo.

 Mapema jana katika ofisi za kituo cha kuzalisha umeme cha Nyakato jijini Mwanza profesa Sospitar Muhongo alikutana na viongozi wa shirika la TANESCO kujadili namna bora ya kuondokana ana adha ya katizo la umeme kwa wakazi wa kanda ya Ziwa.

Taarifa za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ITA yahitaji bil. 67/- upanuzi miundombinu

CHUO cha Kodi (ITA) kinahitaji zaidi ya sh bilioni 67 kwa ajili ya upanuzi wa miundombinu ili kuendana na kasi ya wanafunzi wanaohitaji mafunzo hayo. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaahidi kuboresha miundombinu DIT

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amesema serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kutokana na taasisi hiyo kutoa mchnago muhimu kwa taifa. Mbali...

 

10 years ago

Mwananchi

Sh600 bilioni kuboresha miundombinu D’Salaam

>Jumla ya Sh600 bilioni zitatumika katika Mradi wa Kuendeleza Jiji la Dar es Salaam (DMDP),  katika mwaka wa fedha 2015/2016, ikiwamo kuboresha miundombinu ili kudhibiti mafuriko.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Amiri Kilagalila,Njombe. Wananchi wa kitongoji cha Mking’ino kijiji cha Luvuyo kata ya Madope wilayani Ludewa mkoani Njombe wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji chao na vijiji  jirani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii. Wakazi hao akiwemo Erasto Mtega, Junitha Mbukwa na Stia Chaula wamesema asilimia kubwa ya wakazi wa eneo hilo ni wakulima wa mazao ya viazi mviringo na mahindi lakini changamoto ya ubovu wa barabara inawalazimu...

 

10 years ago

Habarileo

Bil 4/- kuboresha barabara Dar

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSHILINGI bilioni nne zinatarajiwa kuanza kutumika kurekebisha maeneo korofi yaliyoharibiwa na mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani