Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz)

Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati siku ya kwanza ya mwaka 2016 inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa ya Mwanza leo kwenye muonekano wake… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, […]

The post Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Muonekano wa baadhi ya mitaa ya Mwanza january 1.2016…(+Pichaz)

Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati january mosi inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa ya Mwanza leo kwenye muonekano wake… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]

The post Muonekano wa baadhi ya mitaa ya Mwanza january 1.2016…(+Pichaz) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz)

Leo Dec 25 ni siku ambayo Wakristo wa mataifa mbalimbali huisherehekea kama siku ya Christmas, Tanzania pia ikiwa ni miongoni mwa nchi hizo. Ingawa tumezoea kuona shamrashamra nyingi katika siku kama hii kwa maeneo mengi, hapa ripota wa millardayo.com anakusogezea picha kadhaa kutokea Mkoani Tanga hali inavyoonekana kwa siku hii ya leo. Unataka kutumiwa MSG za […]

The post Licha ya kuwa leo ni Sikukuu, lakini huu ndio muonekano wa Tanga Dec 25….(+Pichaz) appeared first on...

 

10 years ago

Mwananchi

BVR yaonyesha unafuu baadhi ya maeneo

>Wakati baadhi ya maeneo wananchi wakitaabika kusimama foleni muda  mrefu kusubiri kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), sehemu nyingine adha hiyo hakuna.

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar Es Salaam.

 

Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.

 

Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.

 

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...

 

11 years ago

Mwananchi

Baadhi ya maeneo jijini D’Salaam kukosa maji

Kampuni ya Usambazaji Maji katika Jiji la Dar es Salaam (Dawasco) imesema kuwa baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam yatakosa maji kwa muda usiojulikana.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH

Assalaam alaykum wapenzi wadau wa Ukumbi huu, haya ni matokeo ya Awali yaliyopatikana katika baadhi ya vituo, kadri yanavyopatikana tutapeana hasa hasa baada ya kupata majumuisho, in shaa Allah, tuzidisheni duaa, kila mwenye nia mbaya Allah […]

The post MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani