Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH

Assalaam alaykum wapenzi wadau wa Ukumbi huu, haya ni matokeo ya Awali yaliyopatikana katika baadhi ya vituo, kadri yanavyopatikana tutapeana hasa hasa baada ya kupata majumuisho, in shaa Allah, tuzidisheni duaa, kila mwenye nia mbaya Allah […]

The post MATOKEO YA AWALI YA BAADHI YA MAENEO ZAIDI TUTAJILISHANA BAADAYE INSHAALLAH appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya awali Catalonia

Matokeo ya kura ya maoni isiyokuwa na makubaliano iliyopigwa jana kutaka ama kutotaka jimbo la Catalonia.

 

10 years ago

Mwananchi

BVR yaonyesha unafuu baadhi ya maeneo

>Wakati baadhi ya maeneo wananchi wakitaabika kusimama foleni muda  mrefu kusubiri kuandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), sehemu nyingine adha hiyo hakuna.

 

10 years ago

StarTV

Baadhi ya maeneo Dar yakumbwa na mafuriko.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar Es Salaam.

 

Watu wawili wamefariki katika meeneo ya Sinza na Mwananyamala jijini Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha na kusababisha baadhi ya nyumba kujaa maji yaliyotokana na mafuriko.

 

Taarifa ya vifo hivyo imethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni Kinondoni kamishina msaidizi wa Polisi Camilius Wambura.

 

Maeneo yaliyoathiriwa zaidi na Mvua hiyo ni yale ya Wakazi waliojenga nyumba zao maeneo ya Mabondeni ikiwamo kati kati ya Jiji...

 

11 years ago

GPL

MATOKEO YA AWALI JIMBONI CHALINZE

Mgombea Ridhiwani Kikwete (CCM) anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi Jimbo la Chalinze kwa kata 15 akiwa na kura 20,733, Chadema 2,618 na CUF 449!

 

11 years ago

Mwananchi

Baadhi ya maeneo jijini D’Salaam kukosa maji

Kampuni ya Usambazaji Maji katika Jiji la Dar es Salaam (Dawasco) imesema kuwa baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam yatakosa maji kwa muda usiojulikana.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa katika matokeo ya awali

Katika Kitongoji cha Njiapanda Magharibi (Vunjo) CCM ilishinda kwa kura (343), NCCR-Mageuzi (195) na TLP-(36).

 

9 years ago

MillardAyo

Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz)

Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati siku ya kwanza ya mwaka 2016 inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa ya Mwanza leo kwenye muonekano wake… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, […]

The post Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani