Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtandao wa vibaka na uhalifu wajiimarisha maeneo mengi

Pamoja na kuendelea kuvutia misururu ya watu wanaoingia katika Jiji la Dar es Salaam kila kukicha, maeneo yake mengi yamebainika kuwa si salama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Polisi idhibiti mtandao wa vibaka Dar

Jana katika safu ya ‘Ndani ya Habari’ tulichapisha ripoti ya uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wa gazeti hili kuhusu kuwapo kwa mtandao mpana wa vibaka wanaofanya vitendo vya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Uchunguzi huo uliochukua siku saba umeibua mambo mengi ya kutisha kuhusu uhalifu unaofanywa na mtandao huo wa vibaka na kuonyesha pasipo kuacha shaka kuwa, mtandao huo usipodhibitiwa Dar es Salaam hapatakuwa tena mahali salama pa kuishi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawekwa kiporo maeneo mengi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa jana ulilazimika kuahirishwa katika baadhi ya maeneo nchini, kutokana ama na kukosewa kwa majina ya wagombea, baadhi yao kuwekewa nembo za vyama wasivyotoka au uhaba wa vifaa vya kupigia kura.

 

10 years ago

Mwananchi

Uhalifu kwenye maeneo ya ajali ukomeshwe

Upo usemi kuwa, ajali haina kinga. Ni bahati mbaya kwamba usemi huu unasikika kila inapotokea ajali au janga, nasi tunajifariji kuwa ni mpango wa Mungu.

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wakatika maeneo mengi nchini

Baadhi ya maeneo nchini yalikosa umeme kwa siku nzima ya jana, kitendo kilichotafsiriwa na wengi kwamba ni hujuma ili kuwafanya wasione mjadala wa kashfa ya IPTL uliokuwa ukiendelea bungeni Dodoma jana.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AVUNJA REKODI MAENEO MENGI

WIKI iliyopita katika simulizi hii ya Diamond  tuliishia pale ambapo staa huyo aliongelea namna wimbo wake wa Mbagala ulivyopendwa kiasi cha kumfanya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ‘JK’ kumteua kuwa mburudishaji kwenye ziara za kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, mwaka 2010.Wiki hii tunaendelea… Mkali wa Bongo fleva Nasib Abdul Diamond Platinumz. Oktoba 2, mwaka 2010, Diamond...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yabaini kuwepo maeneo mengi yasiyoendelezwa  

 

Serikali imebaini kuwepo kwa maeneo mengi ambayo wamiliki wake wameshindwa kuyaendeleza hali ambayo imesababisha migogoro ya mara kwa mara baina yao na wananchi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia Januari mwakani, Serikali itakagua mashamba yote yaliyoshindwa kuendelezwa, yasiyolipiwa kodi na yaliyowekwa dhamana ama bondi na kuyarudisha serikalini.

Amedai hatua hiyo itafanyika kwa umakini mkubwa kutokana na Serikali kutambua kuwa ardhi ni uchumi...

 

11 years ago

Ykileo

MAPAMBANO YA UHALIFU MTANDAO

Mbali na midahalo, hatua mbali mbali za kukabiliana na uhalifu huu wa kimtandao kwa sasa kumekuja na kasi ya kukuza nguvu watu ili kuongeza nguvu ya kukabiliana na uhalifu huu wa mitandao kwenye taarifa ya "NSA-YA MAREKANI"  imeweza kubainisha jinsi taifa hilo linavyo ongeza mafunzo kwa vijana wapya na kuanzishwa program maalum katika vyuo ambapo gharama za mafunzo hayo kwa vijana zinakua ni za serikali.


Hili pia limeonekana kwa nchi ya Afrika ya kusini kupitia mpango wa mafunzo ya mwezi...

 

11 years ago

Ykileo

MJADALA: UHALIFU MTANDAO

Nikiwa na Mtangazaji maduhu mara baada ya mahojiano 2013 Kumekua na muendelezo wa mijadala mbali mbali situ nchini bali katika kila pande ya dunia kutokana na hali ya usalama mtandao inavyozidi kuingia dosari kila kukicha. Mijadala hiyo nchini Tanzania pia imeendelea kushika kasi.

 Mwishoni mwa mwaka jana 2013, nilipata mualiko wakuzungumzia kirefu maswala ya usalama mtandao ambapo pia nilipata kuweka mahojiano hayo kupitia moja ya maandiko niliyo andika kupita blog hii kama...

 

11 years ago

Ykileo

TANZANIA NA UHALIFU MTANDAO - MJADALA

Mijadala ihusuyo maswala ya usalama mtandao imeendelea katka ngazi mbali mbali. July 6 ya Mwaka huu wa 2014 Yusuph Kileo alipata kushiriki na wataalam wengine wa ndani kujadili maswala mbali mbali yahusuyo usalama mtandao nchini. Mjadala ulihusisha mkusanyiko wa taarifa mbali mbali za kiusalama mitandao kutoka katika mataifa mengine pamoja na mwelekeo wa kukabiliana na uhalifu mtandao katika mataifa mbali mbali Duniani.


Kipindi kilihusisha wageni walio alikwa Katika studio pamoja na mjumuisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani