Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhalifu kwenye maeneo ya ajali ukomeshwe

Upo usemi kuwa, ajali haina kinga. Ni bahati mbaya kwamba usemi huu unasikika kila inapotokea ajali au janga, nasi tunajifariji kuwa ni mpango wa Mungu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa vibaka na uhalifu wajiimarisha maeneo mengi

Pamoja na kuendelea kuvutia misururu ya watu wanaoingia katika Jiji la Dar es Salaam kila kukicha, maeneo yake mengi yamebainika kuwa si salama.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA

Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma. Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga. Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna majeruhi wala…

 

10 years ago

Vijimambo

GARI LA KUBEBEA PESA LAPATA AJALI MAENEO YA NEW JERSEY

Gari hili lilipata ajali na drive wake kuumia vibaya na hapa kama unavyoona kikosi cha uokoaji kikifanya kazi ya kumuokoa drive wa gari hilo katika eneo la ajali iliyotokea maeneo ya New Jersey. kama ingetoakia Afrika hii mbona ingekuwa neema kwa watu wakaribu na eneo la ajali kama unavyo jua barabara nyingi upita karibu na maeneo ya makazi ya watu.Chanzo cha ajali akikueleweka bali ukodak wa Tembaphoto ukipita eneo la ajali na kupata picha hiziHii ni foleni ambayo ilisababishwa na ajali...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA,DEREVA ANUSURIKA KUFARIKI

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugongana na Basi la MeridianWasamaria wema wakinasua dereva wa gari ndogo
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama ameponaAjali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.

 

11 years ago

Michuzi

basi la amani lapata ajali maeneo ya salanda mkoani tabora, mtoto mmoja afariki dunia

Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao  Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri Basi la Amani likiwa limepindukaKikosi kazi cha Michuzi TV kilicho...

 

10 years ago

Ykileo

UMUHIMU WA USHIRIKIANO KWENYE VITA DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Nianze mada hii kwa kurudia pongezi kwa rafiki yangu Bwana Joe, Kwa kuongezewa nguvu na Nchi yake ya Marekani. Tayari taarifa rasmi ya hili nimeiandikia, na inaweza kusomeka zaidi kwa “KUBOFYA HAPA”. Bwana Joe amekua na imani inayofanana sana na yangu kwa muda mrefu ya kua uhalifu mtandao ni mbio za sakafuni endapo hapatakua na ushirikiano thabiti.


Kume kua na hoja nyingi kutoka mataifa mbali mbali juu ya kusua sua katika ushirikiano unao vuka mipaka huku uhalifu mtandao kutotambua mipaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

5 years ago

CCM Blog

WATUMISHI WA AFYA WAASWA KUTOSHIRIKI KWENYE UHALIFU WA KUHARIBU USHAHIDI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza jambo na watumishi wa afya (hawapo pichani) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Watumishi wa afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa kwenye kikao na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (hayupo pichani) alipofanya ziara katika Hospitali hiyo.

Na Englibert Kayombo, WAMJW – Moshi Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

10 years ago

Ykileo

NCHI ZA ME ZAWEKEZA ZAIDI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Ukipitia takwimu za mwaka huu na mwaka jana inaonyesha Nchi za Ulaya na Marekani zimeendelea kuathirika zaidi na uhalifu mtandao, Huku Nchi za mashariki ya kati kuonekana kunyemelewa na wahalifu mtandao. Wakati huo huo takwimu zilitabiria Nchi za Afrika  kuwa katika hali mbaya baadae kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya mitandao ambao hauendani sanjari na maandalizi madhubuti ya usalama wa mitandao.


Mengi yalizungumzwa kuhusiana na tishio jipya katika nchi za kiarabu huku kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani