AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA
Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma. Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga. Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna majeruhi wala…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLAJALI YA LORI NA DCM ENEO LA EXTERNAL JIJINI DAR YAUA
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Wafanyabiashara 21,500 hawana maeneo Ilala
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Uhalifu kwenye maeneo ya ajali ukomeshwe
10 years ago
VijimamboGARI LA KUBEBEA PESA LAPATA AJALI MAENEO YA NEW JERSEY
10 years ago
VijimamboAJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA MKATA,DEREVA ANUSURIKA KUFARIKI
Dereva wa Gari ndogo akiwa haamini kama ameponaAjali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake kuharibika vibaya.
Ajali hii imetokea maeneo ya Mkata barabara ya kwenda mikoa ya Kaskazini.
11 years ago
Michuzibasi la amani lapata ajali maeneo ya salanda mkoani tabora, mtoto mmoja afariki dunia
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
11 years ago
MichuziMkurugenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11 wasomea upya mashtaka 27 ya mauji katika ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16,jijini dar
Mbali na Fuime washtakiwa wengine ni, Diwani wa Kata ya Goba, Ibrahim Mohamed maarufu kama Kisoki, Raza Ladha, Goodluck Mbanga, Willbroad Mugyabuso,Mohamed Abdulkarim, Charles Ogare, Zonazea Oushoudada, Vedasto Ruhale,...
11 years ago
MichuziBonge la Toyota RAV 4 linauzwa