Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bonge la Toyota RAV 4 linauzwa

ipo katika hali nzuri.  Ni ya mwaka 2001, 4WD, Petrol, Automatic, engine capacity 1998, Milleage 82000, ina Air Conditioning, Airbags, Alloy Wheels, AM/FM Radio, Anti-Lock Brakes, Electric Windows ,Front Fog Lamps ,Power Steering,  n.k. Gari ipo Dar es Salaam. Bei milioni 14. Kwa mawasiliano zaidi   piga namba 0655657911 au 0754573435.



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TOYOTA RAV 4 YAVAMIA MTARO JIJINI ARUSHA

Muonekano wa gari aina ya Toyota RAV 4 yenye namba za usajili T 380 CVF baada yakuacha njia na kuingia katika mtaro jana jioni Arusha mjini. Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari hiyo kuingia katika mtaro.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA TOYOTA RAV 4 ILIYOTEKETEA KWA MOTO SELANDER BRIDGE

Gari hili aina ya Toyota Rav 4 likiteketea kwa moto maeneo Selander Bridge jijini Dar es Salaam jana. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

10 years ago

Michuzi

GARI TOYOTA MARK II LINAUZWA KILIMANJARO

Gari aina ya Toyota Mark 11 ya mwaka 1992 inauzwa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Liko katika hali nzuri sana na tayari imetembea 52021KMS. Ni Manual, 1988cc. Bei ni shilingi  4.5m/- .kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0755 659929.

 

10 years ago

Dewji Blog

RAV 4 inauzwa

Model 2000 wasiliana na 0767 -622 987

IMG-20141027-WA009

 

 

10 years ago

GPL

AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA

Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma. Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga. Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna majeruhi wala…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mshindi wa kwanza wa Simtank akabidhiwa Rav 4 mpya

DSC_0024

 Mkuu wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya SILAFRICA Tanzania bwana Alpesh Patel akikabidhi funguo za gari kwa mshindi wa shindano la Uza na Ushinde bidhaa za SIMTANK bwana Hiren Chandarani ambaye ni Mkurugenzi wa RAVI STEEL, anayeshuhudia ni Ravi Chandarana Mkurugenzi Mtendaji wa RAVI STEEL.

Kampuni ya Silafrica Tanzania Ltd, inayoongoza kwa kutengeneza vifaa vya plastiki leo imekabidhi gari aina ya RAV 4 kwa wakala wake wa bidhaa za SIMTANK ambaye aliibuka  mshindi wa kwanza wa shindano la...

 

11 years ago

Michuzi

trekta linauzwa

Tractor aina ya Ford 5610 inauzwa kwa bei nzuri,iko kati hali nzuri kabisa kama inavyoonekana kwenye picha. Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana kwa email:misasophie@yahoo.com ama kwa simu 0768808819

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

LEXUS RX 300 LINAUZWA

AINA YA GARI

LEXUS RX 300

BEI YA KUUZA

Milioni 20 Tsh.

MWAKA WA KUTENGENEZWA

2004

RANGI YA GARI

PALE SUMMER BLUE METALLIC/

KILOMETA ILIZOKWENDA

160,234

UWEZO/UKUBWA WA INJINI

2.4-liters, V6

MENGINEYO

Gari lipo kwenye hali nzuri na kama, linavyoonekana kwenye picha

MAWASILIANO

Mnunuzi, nipigie kwenye namba +255 785 734 519







 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani