GARI LA KUBEBEA PESA LAPATA AJALI MAENEO YA NEW JERSEY
Gari hili lilipata ajali na drive wake kuumia vibaya na hapa kama unavyoona kikosi cha uokoaji kikifanya kazi ya kumuokoa drive wa gari hilo katika eneo la ajali iliyotokea maeneo ya New Jersey. kama ingetoakia Afrika hii mbona ingekuwa neema kwa watu wakaribu na eneo la ajali kama unavyo jua barabara nyingi upita karibu na maeneo ya makazi ya watu.
Chanzo cha ajali akikueleweka bali ukodak wa Tembaphoto ukipita eneo la ajali na kupata picha hizi
Hii ni foleni ambayo ilisababishwa na ajali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6q4t4dNL56ktF8CWacLJeVaUAOo5CjKNY-kbC85ziPWNWPLcJsET70y0b0Dsu*dVZogWoZimPVB8RboLomEosSwA72O-bNGs/2.jpg)
GARI LILILOBEBA NG’OMBE LAPATA AJALI UBUNGO DAR
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cGo6tZ2Pjx0/U75Oi6usarI/AAAAAAAF0b0/u1pMXJPCeAM/s72-c/0e181b0c2373127091efa71e90b76a5b.jpg)
basi la amani lapata ajali maeneo ya salanda mkoani tabora, mtoto mmoja afariki dunia
![](http://4.bp.blogspot.com/-cGo6tZ2Pjx0/U75Oi6usarI/AAAAAAAF0b0/u1pMXJPCeAM/s1600/0e181b0c2373127091efa71e90b76a5b.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aeQujKkzX2k/U75OiVqolsI/AAAAAAAF0bo/GMrp1GiZGG4/s1600/02882a9c9d41a00666fe4ed394af84cc.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-h7G-T9q1rPI/U75Oi_x4OAI/AAAAAAAF0bs/OyMTnXPua5I/s1600/6899959f0968195d98ac10d9fea7d3da.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-edeMEgxlOfc/U75OkY_PM1I/AAAAAAAF0b4/WcN2WY7uezc/s1600/acd0b12d117431f12389153f5e5d5207.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JHIHHBt42YI/U75OlD2nptI/AAAAAAAF0cI/FYlV4XJTJjI/s1600/d7f7190b8f9412af2688c736446d16cd.jpg)
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Gari la kubebea Majeneza la kipekee laingia nchini
Pichani juu na chini ni muonekano wa Gari maalum la kukodisha kwa ajili ya shughuli za kubebea majeneza katika misiba limeingia nchini.
Kwa wanaohitaji kukodi kwa shughuli za misiba wanaweza kuwasiliana kupitia barua pepe kiwiaadavidson@hotmail.com au simu namba +255 715 213213, +255 713 616606 na +255 784616606
Muonekano wa ndani sehemu maalum linapowekwa jeneza.
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwigulu awanunulia wananchi wake gari la kubebea wagonjwa
Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wapiga kura wake na wananchi wa kata ya Mtoa tarafa ya Shelui ambapo pamoja na mambo mengine, alihimiza ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Kebwe Stephen Kebwe (MB) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mgongo tarafa ya Shelui jimbo la Iramba magharibi ambapo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UPk19fQjvRY/XvRWbJRN4OI/AAAAAAALvU0/cU550e8Db4MGSstuKdaq6-zHVj-i2ku9wCLcBGAsYHQ/s72-c/Cd067Y7WIAAoQWB.jpg)
KITUO CHA AFYA CHA MAPERA KIMEPATA GARI LA KUBEBEA WAGONJWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-UPk19fQjvRY/XvRWbJRN4OI/AAAAAAALvU0/cU550e8Db4MGSstuKdaq6-zHVj-i2ku9wCLcBGAsYHQ/s640/Cd067Y7WIAAoQWB.jpg)
KITUO cha Afya Mapera kilichopo katika Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma, kimepata gari la wagonjwa(Ambulance) iliyonunuliwa na Halmashauri hiyo ili kurahisisha usafiri kwa wagonjwa watakohitaji na kupewa rufaa kwenda Hospitali ya wilaya Mbinga na Rufaa ya mkoa Songea.
Akikabidhi gari hilo kwa Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Mapera,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Juma Mnwele alisema, gari hilo limetokana na ahadi iliyotolewa na Waziri Mkuu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMPezhUlGiKG7uH-CpTdtaBJwA8TPtmDWzfQNjR0tlQo5gqMUApDC9s0QBuRUgheoYYcjnh5VxUVo3kOQfsLvmmg/TRENI.jpg?width=650)
TRENI LA MIZIGO LAPATA AJALI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmnrGbs9LVSamZopCcBa28uZkLiXV288EANqhvHpv-rgtIhWaNI31J61dCy6buyMtAtF9IN3LvRx0GixgZM8mA8p/IMG20141107WA0005.jpg)
BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA