Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TRENI LA MIZIGO LAPATA AJALI DAR

Treni la mizigo baada ya kupata ajali. TRENI la mizigo limepata ajali eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam muda mfupi uliopita na kuangusha mabehewa yaliyokuwa na makontena ya Azam na Mohamed Enterprises. Makontena yaliyokuwa yamebebwa na treni hilo la mizigo. Kikosi cha Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) tayari kimefika eneo la tukio kuimarisha ulinzi wa mali zilizokuwemo katika mabehewa hayo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa.
Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa...

 

11 years ago

Michuzi

Treni ya mizigo yapata ajali eneo la Gulwe Wilaya ya Mpwawa,Dodoma

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa. Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika stesheni ya Gulwe, hiyo imetokea saa 9.15...

 

11 years ago

Michuzi

wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma

Mnamo tarehe 27.03.2014 majira ya saa 02:10 usiku huko Gulwe katika Wilaya ya Mpwapwa kulitokea ajali ya treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kwenda Kigoma baada ya kusombwa na mkondo wa maji ya mvua zinazoendelea kunyesha. Kutokana na wingi na nguvu ya maji hayo ilifanya kichwa cha treni hiyo kutumbukia kwenye mto Mimo.
                VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1.  Felix s/o Kalonga 2.  Ismail @...

 

9 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA

ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo.

 

11 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI WAMI

Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami. Chanzo ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo. Chanzo: Radio One Stereo

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI


Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.

 

10 years ago

GPL

GARI LILILOBEBA NG’OMBE LAPATA AJALI UBUNGO DAR

Mfanyabiashara wa mifugo hiyo, Abdalah Juma,  akionyesha eneo la bega aliloumia katika ajali.…

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI KILIMANJARO SIKU YA JANA

Muonekano wa basi la Dar Express lenye namba za usajili T640 AXL linalofanya safari zake Kati ya Dar na Rombo baada ya kupata ajali jana jioni eneo la Marangu, Mamba mkoani Kilimanjaro .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani