Treni ya mizigo yapata ajali eneo la Gulwe Wilaya ya Mpwawa,Dodoma
Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa.
Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika stesheni ya Gulwe, hiyo imetokea saa 9.15...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMPezhUlGiKG7uH-CpTdtaBJwA8TPtmDWzfQNjR0tlQo5gqMUApDC9s0QBuRUgheoYYcjnh5VxUVo3kOQfsLvmmg/TRENI.jpg?width=650)
TRENI LA MIZIGO LAPATA AJALI DAR
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Treni iliyobeba tindikali yapata ajali
Queensland, Australia
Treni ya mizigo, iliyokuwa imebeba lita 200,000 za tindikali hatari ya Sulphuric Acid, usiku wa kuamkia leo Jumatatu imepata ajali nje kidogo ya Mji wa Julia Creek, Kaskazini Magharibi mwa Jimbo la Queensland nchini Australia na kuzua hali ya sintofahamu.
Picha ya treni hiyo iliyopigwa kutokea angani
Polisi walilazimika kufunga shughuli zote zilizokuwa zikiendelea kwenye eneo la kilometa 2 kuzunguka eneo la ajali, wakihofia wananchi wanaweza kupata madhara makubwa kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-2kx1r_deL3M/VRVF_KsqY4I/AAAAAAAARq0/E3ALjKJXons/s72-c/train_lory%2Bcolition.jpg)
AJALI YA ROLI KUGONGA TRENI ENEO LA KARUME JIJINI DAR LEO ASUBUHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-2kx1r_deL3M/VRVF_KsqY4I/AAAAAAAARq0/E3ALjKJXons/s640/train_lory%2Bcolition.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s72-c/DSC07352.jpg)
ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-qEMni6Z3hBE/VOUKOCZFJMI/AAAAAAAHEbQ/DsI15vPWE7c/s1600/DSC07352.jpg)
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni kutofika katika stesheni ya Kigoma unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Rais Kikwete aomboleza vifo vya watu 18 kufuatia ajali iliyotokea eneo la Pandambili, Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi kufuatia ajali iliyotokea tarehe 30 Julai, 2014 katika eneo la Pandambili, Wilayani Kongwa na kuua watu wapatao 18.
Katika ajali hiyo, watu 13 walifariki katika eneo la ajali, na majeruhi wapatao 56 walifikishwa hospitalini. Kati ya majeruhi hao hadi sasa waliolazwa ni 30 na wengine wameruhusiwa baada ya kupata matibabu.
Rais amemuomba Dkt. Nchimbi kumfikishia rambirambi zake za dhati kwa...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Treni za mizigo kuanza kazi kwa nchi za EAC